Mabibi na mabwana tuko msibani.
Tusisahau kuwa pamoja na msiba, pana gonjwa linalotunyemelea. Gonjwa hili linataka barakoa na kuepuka mikusanyiko.
Tunapoomboleza tukumbuke tuna ugonjwa ungalipo na kwa hakika hatutajilaumu kwa kuchukua tahadhari.
Mikutano yote rasmi na isiyo rasmi pia inahusika.
Itakuwa jambo la msingi sana ugonjwa kama huu utakuwa agenda kuu ya serikali ijayo.