ugonjwa

  1. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Je, mchanganyiko wa Dawa za Kienyeji na za hospitalini zinaweza kutibu Ugonjwa wa akili?

    Hello JF, Ningependa kujua kama ushawahi kupata tiba, kati ya hizo mbili (Tradition Medicine au Modern Medicine) Ipi ili work? Au zote? Kipi kilichokusukuma utumie kimoja wapo? Nini kilikusukuma utumie vyote? Unatushaurije? ---------- Maoni ya Mdau
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kasi ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa UKIMWI katika Jiji la Tanga Imeshuka kutoka asilimia 5 mpaka 2.2

    KASI ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi katika Jiji la Tanga yameshuka kutoka asilimia tano mwaka juzi hadi asilimia 2.2 Julai mwaka huu. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Ukimwi wa Jiji la Tanga, Mosses Kisibo wakati akiongea na gazeti hili kuhusu mikakati ya utekelezaji wa shughuli za...
  3. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Hivi ugonjwa wa Ebola tulioambiwa na Mabeberu upo Tanzania umeishia wapi?

    Mimi nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanafuatilia kwa makini sana sakata la Ebola tanzania. Hawa mabeberu waliuaminisha ulimwengu kuwa tz kuna Ebola na kushindana katika kutoa matamko kwa raia wao. Mimi nijuavyo Ebola kama pembe la ng’ombe halifichiki cha kushangaza mpaka leo sijackia...
  4. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) . Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana. JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA 1.Ngono isiyo salama 2.Kuchangia nguo(Jasho na maji...
Back
Top Bottom