Askofu Dkt. Shoo aomba waliokamatwa kwa kumsingizia ugonjwa Dkt. Magufuli waachiwe ili tuomboleze nao pamoja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,381
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa.

Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa.
 
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa .

Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa .
Ushahidi tafadhali
Kaitolea wap? Usilitaje bure jina la Askofu Shoo
 
Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?

Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
 
Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wpte au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?


Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu shoo kalazwa kwa kipindupindu.Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
Mkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi, mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine? Siku zote viongozi wa dini ni wapatanishi
 
Mkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi, mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine? Siku zote viongozi wa dini ni wapatanishi
Kwani hao wazushi ambao askofu anawaombea msamaha NI wajomba zake? Sasa nimeelewa kumbe askofu alishirikiana na hao wazushi kutangaza habari ambayo hawakupaswa kutangaza Bali Kuna mamlaka iliyopaswa kutangaza na si hao vijana wa askofu shoo.
 
Back
Top Bottom