ugonjwa

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  2. Morg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kunukia sogeeni hapa kidogo tupate update

    Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama sijamaliza naapgrade mda wowote Nina pafyume zaidi ya Tano na zote mpya Kuna mzigo nimeonesha ushatua...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kushirikiana na Afrika kupambana na malaria baada ya kuidhinishwa na WHO kuwa nchi isiyo na ugonjwa huo

    Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
  4. ZOPPA

    JamiiForums Tanzania Uvimbe kwenye kwapa je huu ni ugonjwa gani?

    msaada tafadhali nimekua na tatizo la uvimbe kwenye kwapa kwa muda wa miezi mitatu sasa bila ya kujua tatizo nini au nasumbuliwa na ugonjwa gani ila sijisikii maumivu ya aina yeyote ila nakuwa na wasiwasi unawey
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

    RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA. Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari* na kuziagiza Taasisi na sehemu zote za mikusanyiko kuweka ndoo za Maji na...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa COVID-19 unaonekana nchi za Afrika kuwa wakutisha kuliko Nchi za Magharibi

    Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika. Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona? Sisi kama watanzania hili swala...
  7. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Suala la ugonjwa wa Covid-19 Tanzania lazima liangaliwe kwa mapana

    Ni wazi kuwa Tanzania tangu ugonjwa huu mkubwa ulipuke duniani kote tumeendelea kuchukua tahadhali ikiwa njia ya kutumia dawa zetu za kienyeji pamoja na kujifukiza hii njia ilituvusha mwaka 2020 na ndiyo maana hatukuweza kufungiwa majumbani na maisha yaliendelea kama kawaida. Baada ya hayati...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa

    Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dalili za Ugonjwa wa Kifafa

    Kuona maluweluwe kisha kupoteza fahamu Kuanguka na kutupa miguu au mikono Kukaza mdomo, kujing’ata na kutoa povu Kutokwa na haja ndogo au kubwa MUHIMU: Ukiona moja ya dalili hizi nenda haraka kwenye Kituo Cha Afya Soma kwa kina: Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuugua ugonjwa wa Kifafa

    Kifafa ni Ugonjwa unaoathiri mfumo wa fahamu na kusababisha mtu kupata degedege, kukakamaa, kuanguka au fahamu. Kifafa kinaweza kuwa cha kurithi, kupata jeraha kubwa kichwani, magonjwa mengine (mfano homa ya uti wa mgongo), uvimbe kwenye ubongo, matatizo wakati wa kuzaliwa, na kiharusi
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ukuta wangu umepatwa na Ugonjwa huu, naomba msaada

    Huu ni ugonjwa gani wa kuta za nyumba na unatibiwaje? Naomba msaada tafadhali!
  13. Shine

    JamiiForums Tanzania Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Wakuu muu hali gani naomba kujua kinachosababisha mkanda wa jeshi na indicator zake pia madhara yake na kami huu ugongwa una tiba Nawakilisha --- UFAFNUZI WA KINA WA UGONJWA WA MKANDA WA JESHI Kwa takribani miongo mitatu sasa...
  14. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa Skizofrenia (Schizophrenia)

    Mei 24 kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Ugonjwa wa Skizofrenia (World Schizophrenia Day). Huu ni ugonjwa unaoathiri fikra, hisia na kumfanya mtu kushindwa kujitambua vizuri. Hakuna chanzo kimoja hasa cha ugonjwa wa Skizofrenia, lakini mkusanyiko wa kigenetiki, mazingira na mabadiliko ya...
  15. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya Corona kabla ya kufanya utafiti wa faida na madhara ya chanjo hiyo kwa watanzania. My take. Chanjo ya...
  16. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kama huwezi kuona namba iliyoandikwa hapa basi unaumwa ugonjwa husika

    Soma namba vizuri hapa, kama huwezi kusoma namba moja wapo basi unaumwa ugonjwa ulioandikwa chini ya namba hiyo.
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu tatizo la tooth sensitivity

    Tooth sensitivity ni ugonjwa ambao hupelekea toothache. Hali hii hutokea ambapo meno pamoja na fizi hupata uelewe wa kuhisi chochote. Kwa mfano meno yanapo guswa na maji baridi, meno yanapo pigwa na upepo au inapo tokea mtu anasugua kitu kinacho toa sauti. Kama vile: chupa inapo suguliwa...
  18. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Siyo kila ugonjwa wa akili ni mapepo

    Nimeshawahi toa mada kama hii siku za nyuma.Kuna jirani yangu mtoto wake binti wa kidato cha pili anapatwa na mapepo kipindi flani flani.Kuna binti ya rafiki yangu naye miaka ya nyuma kama mitano akiwa kidato cha pili alipatwa na hali kama hiii. Kuna mwingine tena hivyo hiyvo lakini sasa...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Ugonjwa wa Corona ulisababisha shida hata kwenye kulipa mishahara

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"...
  20. Kaporand

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi kukakamaa

    Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari
Back
Top Bottom