uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kama utani vile, Kagame amekubali tena kugombea uchaguzi ujao

    Itakuwa wanyarwanda wanampenda sana Kagame. Rwanda's ruling party again choses Kagame as presidential candidate Rwanda's ruling party on Saturday picked President Paul Kagame as its candidate for the July election, teeing up a contest widely expected to return the longtime leader to office for a...
  2. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeamua kuingia kwenye uchaguzi 2024/25, mmejiandaaje kuzuia dhuluma/uchafuzi kama za "chafuzi" za 2020 zisijirudie tena

    Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii: 1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO? a) Kuna kuenguliwa b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

    Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema? Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania January Makamba anatakiwa aitwe na kuhojiwa na chama chake kuhusiani na kauli zake zinazohusu uchaguzi wa 2020

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Naomba nisimuwekee maneno Makamba. Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akubali kubadili tarehe ya Uchaguzi Mkuu baada ya shinikizo la Maandamano

    SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka madarakani. Awali Rais Sall anayetakiwa kumaliza kupindi cha utawala wake kwa mujibu wa Katiba ifikapo Aprili...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu Katiba. Uchaguzi Mkuu ufanyike 2026

    Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga". Baada ya hapo aliyekuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Rais wa JMT. Katiba yetu inaelekeza kuwa...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana: Chaguzi za 2019 na 2020 zilileta hofu, Mwaka 2024 na 2025 zitakuwa za Huru na Haki

    "Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli" "Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki

    Wafahamu Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) alifariki Februari 17, 2021 akiwa na umri wa Miaka 77 baada ya kupata Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona. Dkt. John...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Shajara Yangu Mpambano wa Maalim na Komando Uchaguzi Mkuu Zanzibar 1995

    SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko Zanzibar na fikra zangu zimerejea nyuma juma la mwisho mwezi October 1995 kuelekea siku ya kupiga...
  11. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Guelle Faure: Uchaguzi ni kama ardhi yenye rutuba yenye kumea taarifa nyingi za uongo

    Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa. Mwandishi wa AFP, anawatahadharisha Wanahabari kuwa makini zaidi na habari na madai yanayozuka wakati huu...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

    Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge. Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni. Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal asema ataondoka Ikulu Aprili 2, 2024 licha ya kuahirisha Uchaguzi Mkuu

    SENEGAL: Rais Macky Sall ametangaza kuwa Mamlaka yake ya Uongozi katika Taifa hilo yatakoma rasmi Aprili 2, 2024 ingawa hajaweka wazi juu ya tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu. Pia, katika taarifa yake, Rais Sall hajaweka wazi nani atakuwa Kiongozi wa Nchi kwa muda wote unaosalia hadi kufika...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la pamoja la Wanafunzi wa Vyuo (ACTWASO) kuelekea uchaguzi wa ngome ya vijana taifa

  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kufanya Uchaguzi Mkuu Mei 29, 2024

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi. Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi wa Pakistani

    Wakuu waTume wamejiuzulu na kukiri wizi wa kura ,wakisadikisha kupora kura sahihi za wapiga kura 70000 za mgombea Uraisi Imran ambae hata hivyo ameibuka kidedea. Wakuu hao wamesema amri za kubadilisha zilitoka kwa wakuu wa vyombo vya usalama. Hapa kwetu wanaobadilisha ni hao wakuu wa Tume na...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Uchaguzi? Diwani ajitolea kumlipa mwalimu anayejitolea na kutoa trekta lake kulima shamba la shule

    DIWANI wa Kata ya Langai, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitieck (Mugabe), amejitolea kumlipa Sh. 100,000 mwalimu wa Shule ya Msingi Langai ambaye anafundisha kwa kujitolea. Pia diwani huyo maarufu kama Mugabe, ametoa trekta lake na kuwalimia ekari 10 kwenye shamba la...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kama tumekata tamaa kiasi hiki kwenye suala la kupiga kura, kuna matumaini ya kupata viongozi bora?

    Wakuu, Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu; Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo? Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi. Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Rais Macky Sall atangaza kuharakisha Uchaguzi Mkuu baada ya kuambiwa ahirisho lake ni kinyume na Katiba

    SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025 Uamuzi wa kuahirisha Uchaguzi na Bunge kupitisha azimio hilo, umeibua vurugu na maandamano nchini...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je mafanikio ni uchaguzi maalum kutoka kwa "higher power"?

    Wale wazee wa "tafuta pesa wewe" Kama sijakosea tumegawanyika katika makundi haya: ■masikini wa kutupwa ■masikini wa kawaida ■mwenye nafuu katika maisha ■mwenye nafuu zaidi ■mwenye nafuu maradufu ■mwenye utajiri ■mwenye utajiri zaidi ■mwenye utajiri wa kupindukia Naamini enzi na enzi hivi...
Back
Top Bottom