Afrika Kusini kufanya Uchaguzi Mkuu Mei 29, 2024

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi.

Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kitakabiliwa na changamoto kubwa ya kutetea Idadi kubwa ya Wabunge katika Uchaguzi wa 7 wa Kidemokrasia nchini humo tangu kumalizika kwa mfumo wa Ubaguzi wa Rangi mwaka 1994.

Miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa yatakipa changamoto Chama Tawala ni pamoja na Mgawo mkali wa Umeme ambao umekuwa ukijirudia katika nchi hiyo, Ukosefu wa Ajira pamoja na mvutano uliopo ndani ya Chama ukichangiwa na Rais aliyejiuzulu, Jacob Zuma.

1708499978162.png

============

South Africa will hold national and provincial elections on May 29, President Cyril Ramaphosa's office said on Tuesday.

The elections are expected to be the most competitive since the end of the apartheid system.

Political analysts widely predict that the governing African National Congress (ANC) party will lose its parliamentary majority for the first time since 1994, with record power cuts, poor service delivery and high levels of unemployment among voter complaints.

South Africans will elect a new National Assembly as well as the provincial legislature in each of the country's nine provinces before the National Assembly elects the president.

Ramaphosa, 71, is seeking a second term as president. He has struggled to lift economic growth significantly since taking over from Jacob Zuma as president in 2018.

"The 2024 elections coincide with South Africa's celebration of 30 years of freedom and democracy," Ramaphosa's office said in a statement.

"Therefore, President Ramaphosa calls on all eligible voters to fully participate in this important and historic milestone of our democratic calendar."
 
Back
Top Bottom