Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,310
- 4,017
Wale wazee wa "tafuta pesa wewe"
Kama sijakosea tumegawanyika katika makundi haya:
■masikini wa kutupwa
■masikini wa kawaida
■mwenye nafuu katika maisha ■mwenye nafuu zaidi
■mwenye nafuu maradufu
■mwenye utajiri
■mwenye utajiri zaidi
■mwenye utajiri wa kupindukia
Naamini enzi na enzi hivi ndivyo makundi haya yalisimama hata kabla hatujaanza kuipambania pesa bado jamii duniani kote zilikaa kwa mfumo huu.
1% ya watu duniani ni mabilionea (in terms of dollars). Are these people specially chosen kuwa katika nafasi hio au unaamini hardworking pekee ndio ya kukupa mafanikio ya mali nyingi?
Sisi ni mashahidi wa huko mtaani kwetu katika mapambano ya kutafuta pesa na mali. Kuna wazee ni wapambanaji mno na wenye ideas kabambe na wasio wafuja pesa ila wamebaki kuwa nafasi ile ile. Je mawazo yao ni mgando? Au Hawachagulia kuwa katika nafasi ya wingi wa mali?
Kuna shuhuda za kupata pesa kutoka kwa waganga huku watu wakisimulia kuwa mafanikio haya huwa yana masharti pia kuna a price to pay ambayo wewe hauwezi ijua wala mganga hawezi kukuambia. Je mganga ni agent wa kukuanganisha ili ununue mafanikio kutoka kwa higher power kwa ajili ya utajiri ambao haukustahili kuupata?
Kuna mifano halisi ya matajiri wakubwa sana kufariki na kuacha mali zikigawanywa kwa ukubwa tu kwa vijana wao. Hata kwa zile mali nyingi walizoachiwa na bado wao kuziendeleza unashangaa hakuna hata mmoja alieweza kufaidika maradufu na zile mali. Unakuta zinapotea huku wakibaki kuendesha maisha yao na mikono yao binafsi.
Are white people chosen over us in terms in terms of success and brilliance or waliwahi tu kukujanjaruka mapema kabla yetu, lakini tukumbuke tulilizika na life tuliokuwa nalo.
Karibuni