Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,153
11,557
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.

Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni.
Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi nimalizie na kukamilisha kazi kidogo iliyobaki katika baadhi ya maeneo machache.

Nguvu ya kutetea kiti inatoka kwa wananchi. Ninapokamilisha na kuhitimisha ziara ya kukagua kazi za maendeleo Jimboni, imekua vigumu sana kuwaaga wananchi kwamba sintagombea tena ubunge.

Kwenye hili nimepata upinzani mkali sana kutoka kwa wananchi.

Na kwahivyo baada ya kusikiliza sauti na vilio vya wananchi nimeridhika kwamba ninatosha na nimeamua kwamba nitakuombea na sintawaangusha wananchi wangu 2025🐒

Tuombeane uzima, kheri, utumishi mwema, afya na siha njema kwa Mungu, ili kwa Neema na Baraka zake, hili likapate kutokea tena, sawa sawa na Mapenzi yake mema kwetu sote.

Asanteni sana.
 
Asanteni sana...
Taja jimbo ili tupime maendeleo uliyoyafanya..!!
 
Back
Top Bottom