Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge.

Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao.

Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?

Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM

Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.

Hiii sio solution
 
Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni rais wa Wanyonge.

Eti atakuwa anasikiliza wanannchi mmoja mmoja kero zao.

Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?

Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM

Mimi siwezi kulichagua jimama hata nishikiwe bastola
 
Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni rais wa Wanyonge.

Eti atakuwa anasikiliza wanannchi mmoja mmoja kero zao.

Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?

Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM

Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.

Hiii sio solution
Solution ni kuiweka CCM pembeni ili nchi ipone
 
Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni rais wa Wanyonge.

Eti atakuwa anasikiliza wanannchi mmoja mmoja kero zao.

Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?

Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM

Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.

Hiii sio solution
Ni kweli , Samia kutaka kupata nafasi ya Rais Uchaguzi ujayo kwa kutumia mbinu ya kumchafua Hayati Magufuli kwa kweli haipedezi, Japo kweli Magufuli ana makandokando yake mengi lakini Watanzania wa Leo siyo wajinga wa kuhadaiwa kwa mbinu hiyo, aachane nayo kabisa maana ataanguka vibaya kwani Magufuli pamoja na yote hayo aliacha mambo mengi yenye kuacha alama na kila mtu anayaona mpaka sasa. Samia aangalie asije akawa mmoja wa ma Rais waliofeli Vibaya katika historia ya utawala WA serikali hii.
 
Amefeli mara ngapi?
 
Huu ndo mda wa wanafiki kuja kuomba kula watajifanya wapoleee wasikivuu wakati tunajua kabiss hawa watu ni majeuri wanaviburi na bado na sisi tulivo mandezi tunawachagua ....nafikiri hawa viongozi wakiwa peke yao hua wanatucheka sana kwa akili zetu kisoda
 
Back
Top Bottom