Rais wa Senegal asema ataondoka Ikulu Aprili 2, 2024 licha ya kuahirisha Uchaguzi Mkuu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1708672262354.png
SENEGAL: Rais Macky Sall ametangaza kuwa Mamlaka yake ya Uongozi katika Taifa hilo yatakoma rasmi Aprili 2, 2024 ingawa hajaweka wazi juu ya tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu.

Pia, katika taarifa yake, Rais Sall hajaweka wazi nani atakuwa Kiongozi wa Nchi kwa muda wote unaosalia hadi kufika tarehe ya Uchaguzi Mkuu uliosogezwa nbele hadi Desemba 15, 2024.

Rais Sall amekuwa katika shinikizo la kuhakikisha Nchi inafanya Uchaguzi wake kwa mujibu wa Kalenda ya Tume ya Uchaguzi ambayo awali ilikuwa ni Februari 25, 2024 lakini kiongozi huyo alisogeza mbele kwa madai ya kuwepo kwa mkwamo wa Kisiasa;

Aidha, amesema anafikiria kumwachia huru Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko ambaye anashikiliwa Gerezani kwa muda mrefu, kitendo ambacho kiliibua Maandamano mwaka 2023 yakitaka aachiwe.

===========

Senegal President Macky Sall has said he will stand down on 2 April when his term is due to end, but it is still unclear when elections will be held to elect his successor.

He said the date of the elections will depend on the planned national dialogue that is set to begin on Monday, and which includes civil society groups, political parties and candidates.

"On 2 April 2024 my mission as the head of Senegal comes to an end...I would like this debate to be clearly settled,” he said during a televised interview.

His announcement assuages fears that he was planning to extend his term, amid a political crisis.

Mr Sall has been under pressure to announce an election date since attempting to delay it earlier this month.

He had wanted to postpone the elections to December so that disputes over the eligibility of other candidates could be resolved.

But the country's top court said the delay was unconstitutional, and called for the election to be held "as soon as possible".

On Thursday, Mr Sall said he didn’t think elections could be held before he steps down.

It’s unclear who would be leading the country after Mr Sall’s mandate expires and before the elections are completed. Mr Sall said he was certain there would not be a void.

He said he would consider freeing his rivals, including opposition figure Ousmane Sonko, whose detention led to nationwide protests last year.
 
DeepPond ....na Wazungu waachie Demokrasia ya Waaftika?

Kwa kifupi una afiki kuwa "Demokrasia" ya Wazungu sio jawabu la Utawala wa Serikali za Kiafrika.

Mkumbuke hata hao Wazungu walirudi makwao ulaya na kuboresha mifumo yao ya Utawala baada ya kujifunza kutoka Afrika.

Kwamba, Utawala unaanzia chini kwenda juu.
 
Sasa walipo irekebisha wakaitengenezea muundo wa fumbo ili kwetu tusijue ubora ktk mfumo wa utawala bora, hilo limekuwa jambo la hatari sana na la maumivu makubwa sana kwa watawaliwa ktk Afrika nzima.
Wachache walio madarakani wanafanya maamuzi yao kwa matakwa yao lakini yana waathiri wengi wasio na nguvu ya kuwahoji wala kuwawajibisha. Rejea Katiba inasema Kiongozi haruhusiwi kushatakiwa kwa makosa aliyo yafanya akiwa madarakani.
 
Akili za viongozi wa Africa sijui vip?yaani viongozi wa upinzani lazima wakae gerezani!hawataki mawazo mbadala,na ndo maana kuja kuendelea kwa nchi nyingi za kiafrica itakuwa ndoto!
 
Ndiyo maana naamini Waafrika sisi sio binadamu itakuwa ni viumbe wengine kabisa sema tumelingana na kufanana sana na binadamu.
Mwafrika hata asome vipi anakosaga akili kabisa,mara zote madaraka anaonaga ni jambo kubwa sana kwake na yupo tayari kufanya lolote apate au aendelee kuwa na madaraka! Kuna moja limeua wenzake wee likitegemea litaishi milele lakini matokeo yake na lenyewe likasukumiziwa hukohuko!
 
Sasa walipo irekebisha wakaitengenezea muundo wa fumbo ili kwetu tusijue ubora ktk mfumo wa utawala bora, hilo limekuwa jambo la hatari sana na la maumivu makubwa sana kwa watawaliwa ktk Afrika nzima.

Wachache walio madarakani wanafanya maamuzi yao kwa matakwa yao lakini yana waathiri wengi wasio na nguvu ya kuwahoji wala kuwawajibisha.

Rejea Katiba inasema Kiongozi haruhusiwi kushatakiwa kwa makosa aliyo yafanya akiwa madarakani.
Nitajibu kwa ufupi kuhusu kutokushtakiwa kwa kiongozi kwa makosa aliyo yafanya akiwa madarakani.

Kwa maoni yangu mtazamo wako unatutaka turudi nyuma na kuangalia vyanzo vya Sheria hizo.

Colonial legacies
Wakati wa ukoloni, Serikali za Ulaya-exerted control- over many regions Including Africa.

Viongozi walioteuliwa na Serikali hizo wakati wote wali enjoy 'immunity" from prosecution, au kinga ya kutokushtakiwa

Kinga hiyo iliwalinda dhidi ya uwajibikaji kwa vitendo vilivyofanywa wakati wa uongozi wao kwa Ukatili waliokuwa wakifanya.

Kumbuka walikuwa wakibaka, kuua n.k

The rationale behind was to maintain stability and ensure that the colonial administration could govern without fear of legal repurcussion.

This is the same rationale used today.

Inatuambia sheria hizi tume adopt na zina tumaliza wenyewe.
 
Ndiyo maana naamini Waafrika sisi sio binadamu
Kwa kigezo kipi hixho ulichotumia? Wewe sio Binadamu?
itakuwa ni viumbe wengine kabisa sema tumelingana na kufanana sana na binadamu.

Mwafrika hata asome vipi anakosaga akili kabisa,mara zote madaraka anaonaga ni jambo kubwa sana kwake na yupo tayari kufanya lolote apate au aendelee kuwa na madaraka!
Trump ni Mwafrika?
Kuna moja limeua wenzake wee likitegemea litaishi milele lakini matokeo yake na lenyewe likasukumiziwa hukohuko!
Aisee.

Ati ndio umetumia akili hapo?

Wacha ugaidi na ukasuku.
 
Sasa walipo irekebisha wakaitengenezea muundo wa fumbo ili kwetu tusijue ubora ktk mfumo wa utawala bora, hilo limekuwa jambo la hatari sana na la maumivu makubwa sana kwa watawaliwa ktk Afrika nzima.
Wachache walio madarakani wanafanya maamuzi yao kwa matakwa yao lakini yana waathiri wengi wasio na nguvu ya kuwahoji wala kuwawajibisha. Rejea Katiba inasema Kiongozi haruhusiwi kushatakiwa kwa makosa aliyo yafanya akiwa madarakani.
kwann mnajitia uchizi , yaan mnakubaki nyie ni wehu msiojuwa kujiongoza mpk karne ya 21 maana ni kama.mnaunga mkono umwiny na ufalme , ni swala la muda hiki kizaz hakikuwa na misingi ya demokrasia tangu makuzi yetu kuanzia miaka ya uhuru , tuanze jenga kizaz cha kesho na sio huu ujinga mnapeana
 
Akili za viongozi wa Africa sijui vip?yaani viongozi wa upinzani lazima wakae gerezani!hawataki mawazo mbadala,na ndo maana kuja kuendelea kwa nchi nyingi za kiafrica itakuwa ndoto!
ttzo ni sisi huwa tunakaa kimyaa
 
Back
Top Bottom