kuna msemo unaotumiwa na ccm ukiwafanya watu wawe maskini watasikia njaa na hiyo njaa itapunguza kufikiri na kuwaza.
Yani hizi tv online za bongo hakuna ubunifu ili mradi tu wakusisitizia ulike na follow tv yao.wakati wengine ukiingia hayo mambo uwezi kukuta ila kilicho andaliwa kitakufanya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amepongeza jitihada za taasisi zote za sekta ya fedha nchini kuhimili vihatarishi vyote vilivyojitokeza na kufanya sekta hiyo kuwa imara na himilivu kwa kuongeza ubunifu na uwezo wa kubadilika kuendana na mazingira...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufanya mageuzi ya Elimu, na kuboresha mbinu za ufundishaji kuanzia ngazi za Awali hadi Vyuo Vikuu ili kupata Wahitimu Mahiri kukidhi mahitaji ya soko la ajira.
Waziri Mkenda amesema hayo Februari 26, 2024...
Wanajamvi mambo ni vipi
Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.
Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.
Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
Wazee wezangu kuna changamoto kubwa katika sekta ya huduma, haswa kwenye ubunifu. Ingawa uchumi unaendelea kukua kwa kasi, sekta ya huduma haijafikia kiwango cha ubunifu kinachohitajika.
Kuchukua mfano wa hali ya hewa ya sasa hivi Dar es Salaam ambayo inakuwa joto sana, ni dhahiri kuwa kuongeza...
Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February.
Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu.
Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
Huyu RC ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa. Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe. Yeye si wa kwanza na si wa mwisho.
Hana lolote jipya kwenye hiyo operesheni. Nilichokiona labda kilicho na ubunifu [kwa viwango vyao vya akili] ni badala ya askari kupiga doria kwenye maeneo yenye dada poa...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: KADCO ONGEZENI UBUNIFU ILI KUVUTIA MASHIRIKA YA UWEKEZAJI
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ameutaka Uongozi wa Kampuni ya Uendeshwaji na Uendelezwaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro (KADCO) ambao ndiyo waendeshaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro...
Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
Uchawi
Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi.
Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania.
Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.
Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"
Tofauti na mtu kama Zitto au Prof...
Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana )
Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
Vitambaa vya kutengenezea makanyagio na ubunifu wa mapambo yapo Kwenye kiloba cha kilo 25, njoo na ofa yako.
Location: Kigamboni (Kichangani)
Number: 0759448927.
Habarini nyote Bazzukulu,
Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako.
Nisiwachoshe ni hayo tu...
Habari zenu wadau!
Ikitokea naondoka kwenye chama cha mabaharia na wala bata Tanzania na kusaliti kwa kufanya ufala wa kuoa basi potelea mbali kwanza nitatembea nae vya kutosha, pia ntamfanyia interview na uchunguzi wa maeneo matatu ya msingi nayo ni.
1. Maadili
2. Heshima
3. Ubunifu
Mengine...
Hamasa ya Wiki ya Simba katika Uwanja wa Buza Kanisani. Huko wamekuja na Kibegi Part Two ambapo mashibiki mamilioni watashindana kupata tiketi 20 za Platnum. Mashabiki hao watashindana kwa kutuma SMS yenye neno Simba kwenda na.909192 itakayokatwa Sh.1,000 tu.
Hili na tukio la jana la mnada wa...
Elimu ni maarifa na ujuzi anaokuwa mtu kuhusu jambo fulani, hivyo kusaidia katika kufanya kazi Fulani kwa ufanisi na matokeo ya kazi hiyo kuwezesha mtu kuinua hali yake ya kimaisha.
Elimu ni sekta muhimu katika kuzalisha wataalamu na wahudumu mbalimbali wenye ufanisi na stadi mbalimbali ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.