Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

Uncle-Rafiki

New Member
Jun 24, 2017
2
5
Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili kuboresha maisha yao na kuchangia katika maendeleo ya jamii. Katika makala hii, tutajadili namna mbalimbali ambazo mhitimu wa kozi ya ualimu anaweza kujiajiri na kujenga fursa za kibinafsi katika eneo la "Elimu Biashara."

LEO TUTAANGAZIA HUDUMA YA MASOMO YA ZIADA (TUTION)

Kuanzisha huduma za Masomo ya ziada (tution) mtaani kwako:
Mhitimu wa kozi ya ualimu anaweza kutoa huduma za kusaidia masomo binafsi kwa wanafunzi wanaohitaji msaada zaidi katika masomo yao.

Huduma hii unaweza ukaifanya hata nyumbani kwako, kama unameza hata ya chakula na viti kadhaa. Pia unaweza kuazima majengo ya taasisi kama vile;
a) Madarasa ya shule iliyo karibu nawe
b) Jengo la klasta (Vituo vya waalimu)
c) Ukumbi wa mikutano wa serikali ya Kijiji/ mtaa au kata
Nimependekeza sehemu izo kwani unaweza kuzipata bure kabisa hasa kwa mikoani au kwa gharama nafuu.
Unaweza kufundisha masomo kama vile hesabu, sayansi, lugha, na masomo mengine, ILA ubunifu ni muhimu katika hili, ili kuleta matokeo chanya kwa watoto ulionao.

Unaweza kutangaza kituo chako (tafuta mtu wakufuatana nae }Team Talks{)wakati shule zinapokaribia kufungwa mashuleni kwa kutembelea shule hadi shule, kutana na uongozi wakupe idhini (ukikutana na walimu "watakaokuelewa" wanakuitia wanafunzi shule nzima pared uwatangazie, pia unaweza kuwapa vipepeshushi wapeleke kwa wazazi wao). Pia unaweza kutangaza kwa kubandika vipeperushi Mtaani kwenye nguzo za tanesko, madukani (ukiruhusiwa) na sehemu nyinginezo zinazofaa. Huduma yako inatakiwa kua endelevu siku zote, hata pale shule zinapofunguliwa.

Unaweza kutuo huduma hii katika ngazi zote chamsingi ni kuwatofautishia mda wa kufika kituoni ili ratiba zao zisiingiliane, ikibidi ongeza mtu wa kukusaidia kwa makubaliano maalumu. Inaeza ikiwa hivi.....
-Tuition kwa Nursery, STD 1 mpaka STD 7
-Tution kwa shule za sekondari Form 1 mpaka Form 4 au 6
- Pre form one course
-Pre form three na five course

Ili kuboresha na kuvutia wanafunzi wengi zaidi katika kituo chako toa mafunzo mbalimbali kwa wanafunzi ambayo yatawafanya wajenge imani ya kutosha juu yako, Mfano Semina ya;
-Namna bora ya kusoma ili kufanya vizuri ktk masomo
-Mbinu za kufaulu mitihani
-Mbinu za kujikwamua na changamoto zinazo wakabili wanafunzi na nyinginezo.

Pia unaweza kuandaa zawadi kwa wanafunzi wanaofanya vizuri kwenye mitihani ya mock au NECTA(zawadi ni zawadi; daftari, peni, penseli, rula n.k)

MATOKEO YA HUDUMA HII (kwa makadirio ya chini kabisa);
-Ukiweza kupata angalau wanafunzi 20 wanaoliba ada ya angalau Tsh 15,000/= kwa mwezi kwa tution ya Nursery na primary utapata Tsh 300,000/=
-Ukipata wanafunzi 10 wa sekondari wanaolipa Tsh 20,000/= kwa mwezi kwa masomo matatu utapata Tsh 200,000/=

Hii ni sawa na TSh 500,000/= kwa mwezi, kama ulimualika mtu apo unammegea hata laki 2, kiroho sabuni. Ila inawezekana ku make mpaka M2 hasa kwa miezi ya likizo.

Bado haujatatua tatizo lako mojakwa moja, ila hapo maisha yanaenda wazazi hawakuoni mzigo na unaweza ukawa na wazo jingine zaidi la kumiliki Nursery hata primary kwa kamtaji unachokipata hapo.

HOPE IT'LL BE HELPFULL
 
-Ukiweza kupata angalau wanafunzi 20 wanaoliba ada ya angalau Tsh 300,000/= kwa mwezi kwa tution ya Nursery na primary utapata Tsh 150,000/=
-Ukipata wanafunzi 10 wa sekondari wanaolipa Tsh 20,000/= kwa mwezi kwa masomo matatu utapata Tsh 200,000/=

Hii ni sawa na TSh 500,000/= kwa mwezi, kama ulimualika mtu apo unammegea hata laki 2, kiroho sabuni. Ila inawezekana ku make mpaka M2 hasa kwa miezi ya likizo.

Bado haujatatua tatizo lako mojakwa moja, ila hapo maisha yanaenda wazazi hawakuoni mzigo na unaweza ukawa na wazo jingine zaidi la kumiliki Nursery hata primary kwa kamtaji unachokipata hapo.

HOPE IT'LL BE HEL
Shukrani kwa ujumbe mzuri🤝.
 
Back
Top Bottom