ubunifu

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupiga Hatua za Mbele katika Elimu: Kuvunja Mipaka na Kuunda Kizazi cha Wanafunzi Wenye Ubunifu

    Utangulizi Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii na nchi kwa ujumla. Tutapendekeza hatua za kukuza ubunifu na uvumbuzi...
  2. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Dkt Mpango avutiwa na ubunifu wa programu ya IMBEJU katika kuchochea ujumuishi wa kiuchumi nchini

    Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuja nao kupitia programu ya IMBEJU ambapo amesema ni wenye manufaa makubwa kwa Taifa. Dkt. Mpango amesema...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ubunifu Tanzania/MAKISATU: VETA, COSTECH, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Waziri Prof. Mkenda, na Watendaji Wao, Wanastahili Pongezi za Dhati!

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwezesha wananchi, hasa vijana kuajirika kwa urahisi, kuongeza tija ya uzalishaji viwandani na...
  4. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania E FM wachukueni Bujibuji, Mshana Jr na GENTAMYCINE, radio itabadilisha direction na kuleta ubunifu mpya

    Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume. Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
  5. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Nimependa ubunifu wa video hii na uhalisia wa wasanii hawa.. 100%

    Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda. Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Moja ya ubunifu bora ambao watanzania tunatakiwa kujivunia ni michoro ya Tingatinga

    Hii ni kazi ya ubunifu ya watanzania wenyewe. Wajapan wakisema wana Anime sisi tunasema tuna Tingatinga. Animationa za ubongo kids wanatumia hii style. Itapendeza kuona watu wengi, hasa michoro ya vitabu, comics, katuni na animations wanatumia hii style.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi wenye Ubunifu yafana

    Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu. Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ubunifu ni sifa ya kwanza ya Kiongozi

    Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake. Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia madrakani unaibua mambo gani ambayo unayasimamia kwa nguvu kama njia ya kuonyesha uwezo wako...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janeth Mahawanga awahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kuchangamkia fursa

    MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
  11. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pharrell Williams ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu wa Loius Vuitton

    Rapa, Mtayarishaji Muziki na Mfanyabiashara Pharrell anachukua nafasi iliyoachwa na Mbunifu wa Mavazi, Virgil Abloh aliyefariki dunia November 28, 2021 baada ya kuugua Saratani kwa miaka 7. Kwa mujibu wa Louis Vuitton, toleo la kwanza na Ubunifu wa Pharrell litaoneshwa kwenye Wiki ya Mitindo ya...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utundu na ubunifu wangu ndani ya 6X6 unavyowadatisha mashangazi warembo

    Wasalaam JF Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba. Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono na miguu ndani 6by5, 6by6, nimevuna dodo la kale au ukipenda mshangazi mrembo. Si kwingine ni hapa...
  14. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania ubunifu ni zero kabisa

    Watangazaji wote wanaongea kwa mfanano mmoja, ni ajabu sana, unakuta reporter wa TBC hana tofauti na reporter wa ITV, house style moja. Sauti moja yaani kama ndo wanajifunza kutangaza. Watangazaji wanatangaza kwa kunata nata sana its like slow motion, sentesi moja ina tamkwa kwa sekunde 17 yaan...
  15. De Opera

    JamiiForums Tanzania Ubunifu unaiua Sahara Media Group

    Wapwa, kuna taarifa inasambaa kuhusu mgomo wa wafanyakazi Sahara Media Group, kwamba hawajalipwa mishahara miezi mitatu sasa sababu kampuni haina hela. Mi huwa nawaza Sahara ni media kubwa na ni kongwe sana ila program zake ni local, kitu ambacho hakiwavutii wanamatangazo. Quality ya vipindi...
  16. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa mnashindwa kuiga ubunifu wa Chalamila?

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika. Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa. Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shigongo ataka mfuko wa kusaidia ubunifu

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Erick Shigongo ameshauri Serikali kuanzisha Mfuko wa Taifa wa Ubunifu ambao utasaidia watu kufanya utafiti na kuzalisha bidhaa. Shigongo ameyasema hayo leo Jumanne Novemba 15, 2022 wakati akiwasilisha mada yake...
  18. Greataziz

    JamiiForums Tanzania Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

    Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena: Matishio ya amani na usalama ni kichocheo cha utafiti na ubunifu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa matishio ya Amani na Usalama yameendelea kubadilika muda wote, na hivyo kuongeza umuhimu wa utafiti pamoja na ubunifu unaokwenda sambamba na kasi wa ukuaji na mabadiliko ya kiteknolojia duniani, ambapo...
Back
Top Bottom