ubunifu

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia kamba za katani

  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia tairi chakavu za gari

  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa meza

  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa vizibo vya chupa

  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Usanifu na ubunifu wa viambaza bomba( balcons)

    Viambaza ni sehemu ya urembo na finishing kwenye ujenzi wa nyumba.. Nyumba isiyo na kiambaza ni sawa na mchuzi chukuchuku... Ama mboga isiyo na viungo Zufuatazo ni baadhi ya viambaza vyenye usanifu wa ubunifu wa kuvutia ... Hasa ukiwa nazo😀 kwa sehemu kubwq unaweza kuona balcony ni za kawaida...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia mawe laini

    Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu kwa kutumia mianzi

    Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia Special dedication kwa Malchiah na wengine wote wapendao ubunifu na asili
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania ERB Ongezeni Ubunifu Kuendana na Sayansi na Teknolojia - Waziri Ulega

    ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
  12. realMamy

    JamiiForums Tanzania Sikiliza huyu dada anavyoimba kwa ubunifu

    Pata nafasi ya kusikiliza ubunifu kutoka kwa mwanadada huyu.
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanatuzidi fedha, akili au ubunifu?

    Kwa nini nauliza hayo? 1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya. Vikifika huko, havipelekwi kwa Wakenya, bali husafishwa vizuri na kisha kuwekwa kwenye vifungashio...
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania umuhimu wa ubunifu kwenye sex kwa wanandoa

    Ni muhimu sana kwa mke na mme kuwa wabunifu kwenye sex kila siku kwa kuzingatia yafuatayo: 1.maandalizi ya sex yaanze mara tu mnapoaganabkwenda makazini 2.amsha amsha ya sex iwe inaendelea baina yenu mnapokuwa makazini kwenu 3.kutafutiana vizawadi vya kuamsha hamasa ya sex baina yenu...
  15. ward41

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kazi za ubunifu cha wa Israel ni hiki hapa

    Hawa watu wamekuwa wabunifu tangu zamani na Walipewa hiyo roho na Mungu MWENYEWE
  16. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  17. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je mawaziri kufungua miradi isiyo ya sekta yao ni ubunifu au kasi ya awamu ya sita?

    Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni 1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa kilombero kunufaika na ubunifu kupitia maonesho ya teknolojia wilayani humo

    Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ubunifu katika biashara?

    Salaam wakuu! Bango hili lipo sehemu nimekutana nalo ni njia panda (Samahani nimezoom simu yangu haijatoa clear). Naomba kuuliza swali, Je mmiliki wa hii sehemu pendwa kwa ukanda wa vingunguti, gongo la mboto na viunga vyake, na sehemu nyingine ambapo mimi sijafika. 1. Amefanya ubunifu ili...
  20. realMamy

    JamiiForums Tanzania Punguza Mawazo, Ongeza ubunifu

    Hii inamaanisha kuwa kuna mtu ana kitu yani akikifanyia kazi anaweza kufika mbali lakini amekaa nacho ndani anawaza. Utawaza hadi lini na umekaa ni fursa ndani? Unamsubiri nani aje akutoe huko uliko akuonyeshe njia? Unachelewa changamka! Unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa leoleo? Ni kitu...
Back
Top Bottom