Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,879
10,594
Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania.

Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na duniani na kupelekea mijadala kwa baadhi ya nchi kuhusu ubunifu huo mbalimbali wa majukwaa na perfomance..

Kwa kinachoendelea wasanii wa Tanzania wajiandae kisaikolojia na watumie nafasi vizuri maan soon watagombaniwa na mapromota wa mataifa mbalimbali na kwenda kutumbuiza huko nje ya nchi.

Wasanii maibweteke na kurizika hakikisheni mnakula sahani moja na diamond huyo jamaa ni next level anajua nini dunia na africa inataka kwenye burudani ya music.

Hongera sana wasafi festival na diamond platinum kwa kutuwakilisha vyema tanzania..
 
Attachments

  • Screenshot_20231002-010006_TikTok.jpg
    Screenshot_20231002-010006_TikTok.jpg
    65.9 KB · Views: 5
Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania.

Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na duniani na kupelekea mijadala kwa baadhi ya nchi kuhusu ubunifu huo mbalimbali wa majukwaa na perfomance..

Kwa kinachoendelea wasanii wa Tanzania wajiandae kisaikolojia na watumie nafasi vizuri maan soon watagombaniwa na mapromota wa mataifa mbalimbali na kwenda kutumbuiza huko nje ya nchi.

Wasanii maibweteke na kurizika hakikisheni mnakula sahani moja na diamond huyo jamaa ni next level anajua nini dunia na africa inataka kwenye burudani ya music.

Hongera sana wasafi festival na diamond platinum kwa kutuwakilisha vyema tanzania..
Nimeona hili jambo nimeshangaa mnoo.. Infact huyu jamaa anastahili pongezi mno, hufanya vitu hadimu mnoo...mnaobeza m'beze tu lakini habari mnayo......simba lamasimba simba dangoteee
 
Mondi anafanya kazi nzuri sana
 
Back
Top Bottom