Tutu kalundji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 532
- 1,287
Ubunifu unahitajika sana katika kazi ili kuleta ufanisi.
Pisi tamu kinyama...Hii kitu mbona kama yenyewe hivi 😄
Na headlamp kichwani kama anasaka makinikia vile 😄Pisi tamu kinyama...
Huo ni ubunifu au utapeli?🤔
hili bonge, ukimaliza kunyoa si utakuwa hoi 😀 😀