tunahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji "FCC" katika elimu

    Haiwezekani mtoto huyu anasoma mambo A na mtoto mwingine anasoma mambo B, alafu mwisho wa siku tunawapa wote mtihani mmoja na kusema huyu kawa wa kwanza na huyu wa mwisho. Kwanini tusiwe na comprehensive material moja ambayo kila mtoto ana access nayo na mitihani yote inatoka humo. Haiwezekani...
  2. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Nadhani tunahitaji vyuo vingi vya Ufundi stadi

    Hello Great Thinkers. Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu. Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania. Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k Vyuo hivi Ada yake iwe...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Nini ili kufikia hizi Level?

    Habari wana-Jukwaa. Nipo najiuliza maswali mengi sana kila nikiingia sehemu nikaona Mapungufu flani,nikitoka nawaza hivi lini na sisi tutakua kama Nchi Flani nikitoka sehemu hio nikipita sehemu Nyingine nikiona Tatizo najiuliza Lini tutakua kama Nchi Flani,Saivi ni miaka 60+ tokea tupate Uhuru...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Tusimchomekee Rais, bado tunahitaji kuzuia wanyama wasisafirishwe

    Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi. Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna budi kuzuia usafirishaji wa wanyama ili kuendekeza umuhimu wa watalii kuja na kuwaona. naweza...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelenskyy: Ukraine tunahitaji silaha zaidi kupambana na Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake inahitaji silaha zaidi kwa ajili ya kundelea kupambana na Urusi kauli ambayo amesema inalenga washirika wake wenye nia ya kuwasaidia. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea eneo la mapambano Mji wa Kharkiv, Mei 28, 2022 na kuzungumza na...
  6. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa asili ya Watanzania tunahitaji Rais wa kidemokrasia ila mwenye tabia za kidikteta au Katiba yenye Meno Makali

    Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:- 1. Wavivu 2. Wezi na sio waaminifu 3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi. Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Jaji Mkuu mpya kutokana na yanayoendelea kwenye Mhimili wa Mahakama?

    Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima. Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la kupanda kwa bei ya mafuta linadhihirisha kuwa sasa tunahitaji katiba mpya ambayo itawapa mamlaka kamili wanachi juu ya taifa lao.

    Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetanabaisha wazi kuwa mamlaka ya kutawala taifa hili yatatoka kwa wananchi. Na mamlaka hayo yatawekwa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hii inamaanisha kuwa kumbe wananchi huwa ndio watawala lakini kwa kuweka wawakilishi kwa njia ya kura. Lakini kama taifa...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji shopping malls?

    Kihistoria hizi shopping zilianzishwa baada ya wazungu wengi huko US kuanza kuishi nje ya mji (suburban). Hizi nazo zikawekwa maeneo ya huko. Watu walifuata huduma hapo na magari na ndiyo kisa cha malls kuwa na parking kubwa sana. Kwa hiyi hizi malls huwa zinachukua eneo kubwa sana, eneo la...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunahitaji hesabu ya fedha zinazokusanywa mitaani kwenye mifuko ya rambo, hazitolewi risiti, tunaweza kupigwa na wajanja!

    Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi. Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
  12. Lupembe Nyave

    JamiiForums Tanzania Njombe: Tumefanya kazi na kampuni ya Pamoja Estate Farm-PFP, hatujalipwa, tumedhulumiwa

    Kwako mheshimiwa, pole na majukumu ya kujenga taifa na pia hongera kwa kazi nzuri unazofanya. Mheshimiwa tunahitaji msaada wako wa kupata haki yetu (tumedhulumika). Tumefanya kazi, hatujalipwa fedha tulizofanyia kazi mpaka sasa. Tuliongea na Fanuel Sabini (Facebook anatumia jina la Seven Sabini...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Kinu cha Nyuklia kwa ajili ya biashara, mambo ya kutegemea umeme wa mvua yanazidi kutoweka

    Tunasubiri nini wamanga hao hapo wamekuja juzi tu leo hii wanafungua Nuclear plant na itawapatia umeme wa kuchezea nasikia wameanza kuwasha mataa mpaka kwenye mitende, sisi tutwasha mpaka kwenye minazi. Serikali ya Samia livalie njuga hili ili tuondokane na mambo ya kusubiria mvua ili mabwawa...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama kweli tunahitaji kufanyia marekebisho Katiba Mpya, tuanze na tume Huru ya Uchaguzi na kupunguza madaraka ya Rais

    Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa. Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani. Mahakama ziwe huru na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje hajafanya jambo jipya, anafanya majukumu yaleyale. Tunahitaji ubunifu

    Kwa wale ambao wamekuwa wakitembelea Balozi zetu nje watabaini wazi kwamba muundo wa kiutumishi kwenye balozi zetu zote Duniani umejengwa kidiplomasia na tafsiri ya watendaji wa Wizara ni kwamba ukihudumu Wizara ya Mambo ya Nje basi wewe ni mwanadiplomasia na hivyo unaweza kuisaidia nchi kama...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali, TANROADS: Tunahitaji mkakati wa kupanua kipande cha barabara Mlima Kitonga, Iringa

    Kwa miaka mingi sasa eneo hili limekuwa eneo korofi kwa kusababisha ajali nyingi sana kila uchao. Kwa wanaotumia barabara ya TANZAM ni nadra sana upite KITONGA usikutane na ajali hasa ya magari makubwa.. Ajali nyingi kwenye kipanda-njia hiki ni za Malori na Mabasi kwa sababu zifuatazo:- 1...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Umma ujulishwe matokeo ya Kikao hiki hapa Chuo cha Usafirishaji-NIT

    Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji propaganda mpya iliyosimama Kupunguza tatizo la Ajira. Serikali mpoo!

    TUNAHITAJI PROPAGANDA MPYA ILIYOSIMAMA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa zaidi ya 80% ya maisha ya mwanadamu yanaongozwa na Propaganda. Iwe propaganda nzuri au mbaya. Iwe Kwa wazungu, wachina, waarabu au Waafrika, propaganda Kwa sehemu kubwa ndio hufanya watu wawe na...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kujuzwa kuhusu hali ya Mafuta nchini

    Last week kulitokea kutofautiana kati ya Mkurugenzi aliyedai mafuta yaliyopo yatatosha kwa 14 days only, ghafla akarukiwa kama kifaranga na mwewe! Ndugu January akakanusha vikali mno hadi kutishia kumuwajibisha Mkurugenzi. Kwa mtazamo wangu, naona Mkurugenzi alikua sahihi maana January...
  20. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Katika maisha tunahitaji kichwa chenye ubongo na akili zenye maarifa

    Kumbuka Katika maisha kuna mtu huwezi kumkwepa. Anaitwa chakubimbi. Chakubimbi ni mtu mwenye mdomo mkubwa, akili ndogo. Sikiliza! Mara nyingi huwa kuna ukweli ndani ya neno natania na kuna siri nzito ndani ya neno sijui na kuna maumivu makali ndani ya neno niko sawa alisema muhenga wa kale...
Back
Top Bottom