Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello Great Thinkers.
Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu.
Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania.
Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k
Vyuo hivi Ada yake iwe Free
Vyuo viwe kwa ajili ya watu ambao ni Tegemezi kwa sasa, labda circumstances zimewafanya wawe tegemezi.
Utegemezi unakuja kwa sababu tofauti, wazazi kukosa ada zamani ,(sababu mfumo wa kusoma ulikuwa ni wa malipo), kukatiza masomo labda kwa sababu ya mimba, utoro, n.k ni Mambo ambayo yamesababisha watu wasipate Elimu ipasavyo na baadae kupunguza chances zao za kupata kazi/kipato,(secured income),
Magroup yanayokuwa affected zaidi ni yale ya vijana/watoto wanaoishi kwenye Mazingira Magumu,Yatima, Adults walio miss Education Opportunities hapo awali...Na watu ambao wamepoteza ajira zao Rasmi.
Hii inaongeza Vulnerability.
Ili kula na ku survive Makundi haya yanakuwa exploited Financially (labda kazi kwa ujira mdogo),Sexually (harassment,Assault,Rape) etc.
Kupunguza hii Vulnerability,
Serikali ifikirie kutarget hawa watu/hili kundi specific
Kwa kuwapa skills ili wajitegemee.
Wakishakuwa wamejengewa capability na serikali kwa kupewa skills then wataingia rasmi kwenye Uzalishaji.
Uzalishaji ina a sense wanaweza Kujiajiri sasa ama Serikali inaweza kuwapa Ajira sababu tayari watu wana Skills.
Ningependa kuona baada ya kupewa skills na kupata Ajira watu hawa wanalipa kodi, ( I know it sucks yeah,kuona yote inaenda kwa Mafisadi,LOL).
Ila Kodi wanayolipa itumike mostly kwenye Kuendesha vyuo hivi na kidogo ndio iende kwenye Mambo Mengine.
I really think kama kweli Serikali bila Mafisadi inataka kuongeza Tax base na Kupunguza Mzigo kwa Serikali then moja ya vitu vinavyotakiwa Kufanywa ni pamoja na Kuwafanya watu wale Unemployable kuwa Employable. Na moja ya Magroup ambayo yako Unemployable ni haya niliyotaja kwenye hii topic.
Mnaonaje hili wazo?