Tunahitaji Umma ujulishwe matokeo ya Kikao hiki hapa Chuo cha Usafirishaji-NIT

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,414
85,840
Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na ikiwakana wanafunzi wake. Leo hii tangu asubuhi Kuna kikao chuoni hapo kinaendelea dhidi ya manyanyaso ya Askari hao.

Rai yetu ni kwamba, kwakua RC na Mganilwa (Mkuu wa Chuo) wote ni Wana CCM washurutishwe wasije wakaficha matokeo ya Kikao hiki vinginevyo Kuna siku Wale Walinzi watauliwa na wanafunzi au vice versa na TUTAKOSA Cha kusema.

Alamsiki
 
Acheni kuvaa vimini na mavazi yq kihuni

Tii sheria bila shuruti la sivyo utashurutishwa tu.
Mkuu hakuna mavazi ya kihuni. Yaani kila kitu kilivyo kipo sawa.
Sema ubaya wake ama uzuri wake ni kuwa wewe umeweka Nini kichwani mwako mpaka useme kuwa jiwe ni Baya ama ni zuri.

Pia usidanganyike haya mavazi yamekuja hivj karibuni.
Kabla watu walikuwa wanafunika nyuchi tu na kangozi kadogo tu.
Huku sauzi mbona watswana wapo kifua wazi wakati mfalme anatafuta bikra wa kuoa mkuu.
Yaani huku umasaini kawaida Sana mama titi kuwa wazi.
Mbona unababaishwa Sana na titi ama paja .take easy focus on your dream everything gonna be okay
 
Very technical...
 
Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na ikiwakana wanafunzi wake. Leo hii tangu asubuhi Kuna kikao chuoni hapo kinaendelea dhidi ya manyanyaso ya Askari hao.

Rai yetu ni kwamba, kwakua RC na Mganilwa (Mkuu wa Chuo) wote ni Wana CCM washurutishwe wasije wakaficha matokeo ya Kikao hiki vinginevyo Kuna siku Wale Walinzi watauliwa na wanafunzi au vice versa na TUTAKOSA Cha kusema.

Alamsiki
Kwani hao walinzi wana sheria zao au wanafuata za chuo?
 
Boom limekata nn Mbona hasira sana
 
Back
Top Bottom