tunahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tunahitaji ushindi Taifa leo, kocha aanze na mfumo upi?

    Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi? 1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza kupitia kwa Msuva kutumia zile mbio zake. 2. Mfumo wa 3-5-2 Huu ni kujilinda kama hamna mpira, zile...
  2. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mmoja kati ya hawa wanne kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 kwenye draw ya CAF CL

    Baada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri Esperance Widad Mamelody Horoya Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana Pot 1 Ahly, Esperance, Wydad, Raja Pot 2...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Chama Lulu sio Chama maua, CCM lilikuwa ua zuri tu

    Sasa ni wakati wa kutegemea Tanzanaia kupata uongozi Lulu (Pearl) na sio kuendelea na huu au serikali iliyokwisha zake ni ya kutupwa kwa maana ya chama hao. CCM lilikuwa Ua zuri linalonukia tulilolichuma baada ya kuunganisha ASP na TANU na kila mtu akalipenda ua hili na kila awezae ikawa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuwekeza kwenye engineering knowledge ili tupige hatua zaidi

    Ukikaa na kijana wa kiyahudi (Israeli) anachowaza ni kuvumbua, mtoto analelewa tangu mtoto kuwa yeye anaakili sana na anapaswa kuzitumia kuvumbua. Tuje kwetu kijana anahitimu degree hajaenda field na hajui atafanya kazi gani baada ya kuhitimu na hata ukimwajiri tofauti yake na form four ni...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya Idadi, tunahitaji kujua na muda wa Matumizi ya Chanjo

    Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali itaendelea na Kasi hii itachukua miezi 3 na kadhaa kuzimaliza hizi chanjo. Hoja yangu kwa serikali, Kama...
  6. share

    JamiiForums Tanzania Kwa dhuluma kubwa iliyopo sasa nchini kutoka vyombo vya dola, tunahitaji mabadiliko haya.

    RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili August 29,2021 ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi akiwemo IGP na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji suluhisho la mafuriko mto msimbazi na siyo kujikita kwenye usafiri Jangwani tu

    kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la jangwani kutopitika. inashangaza kuona serikali inapanga kujenga daraja jangwani kama ndiyo suluhisho la...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Magufuli mwingine aje kushughulika na kilimo Tanzania

    TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA. Israel 🇮🇱 pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya Tanzania 🇹🇿 yenye 945,087 km² na yenye ardhi ambayo 49.7% inafaa kwa kilimo na nearly 61,500 km² about...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya kuwa alifanya uhalifu kwa amri ya mamlaka iliyomteua ni sababu kubwa kwa nini Tanzania tunahitaji mabadiliko ya Katiba

    Naamini kwa dhati kabisa kile alichosema Sabaya, kwamba matendo ya kihalifu aliyofanya Arusha ilikuwa maagizo toka mamlaka iliyomteua na alipaswa kutii. Sabaya ameenda mbali, akasema haikuwa mara ya kwanza kupewa maagizo kama hayo. Na ni wazi kwamba Sabaya kama Mkuu wa Wilaya nje ya Arusha...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wahandisi "non-civil engineers" tunahitaji chama chetu tofauti na IET

    Ndugu wahandisi wenzangu ambao taaluma zetu siyo Civil engineers tunahitaji kuunda chama chetu baada "institution for engineers Tanzania/ chama cha wahandisi tanzania kushindwa kusiamamia haki zetu na kupelekea sekita zetu kutokua. IET imemezwa na civil engineers na haiko kusimamia maslahi ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania President fined - Tunahitaji wengine wasiwe Juu ya sheria hapa TZ.

    Brazilian President Jair Bolsonaro was fined $100 Jana Jumamosi for violating Covid-19 containment measures in Sao Paulo state by failing to wear a face mask and provoking huge crowds at a motorcycle rally for supporters. Na juzi polisi mmoja hapa Dar aliwakamata polisi waliokuwa wakitumia...
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuwa na sheria itayowapa haki waliobambikiwa kesi kudai fidia

    Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara. Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21. George Banoba akatajwa kuwa anaitwa Mohamed John. Hii yote tu ni waendesha mashitaka kulazimisha watu...
Back
Top Bottom