Kwa asili ya Watanzania tunahitaji Rais wa kidemokrasia ila mwenye tabia za kidikteta au Katiba yenye Meno Makali

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:-

1. Wavivu
2. Wezi na sio waaminifu
3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi.

Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu wawekwe ndani hata kwa kucheza pool table, watu wasweke ndani na kunyongwa kwa kula hela za miradi, watu wafanye kazi tujenge viwanda tuuze nje.

AU Rais Dictator alie mzalendo wa Kweli.
Au mnaonaje wana JF?
 
Mi sio muumini wa dictatorship ila kwa hali ya nchi yetu ni bora iwe hivyo tu
 
Ujinga wa udikteta ndio umesababisha hasara kubwa kwa taifa.

Tanzania inahitaji demokrasia ya kweli. Nchi iwe na taasisi imara.
 
Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:-

1. Wavivu
2. Wezi na sio waaminifu
3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi.

Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu wawekwe ndani hata kwa kucheza pool table, watu wasweke ndani na kunyongwa kwa kula hela za miradi, watu wafanye kazi tujenge viwanda tuuze nje.

AU Rais Dictator alie mzalendo wa Kweli.
Au mnaonaje wana JF?
Hatuhitaji dictator bali tunahitaji mtu ambaye anaweza kuzifanya taasisi zetu ziwe na nguvu kuliko binadamu au individuals.
Taasisi ambazo zina nguvu kubwa kikatiba na zinaweza kusimamia katiba bila kuingiliwa na mkuu wa nchi.
Tunataka mtu atakayejenga hiyo misingi imara kwa ustawi wa jamii yetu.
 
Ningependa kiongozi ambaye angetasfiri democrasia kwa mtundo wetu na definition ingekuwa hivi, Democracia ni kazi, uadilifu na uwajibikaji. Hapo tungeelewana tu.
 
Back
Top Bottom