tunahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji ofisi huru ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Tumeishi miaka hii ambayo mengi yanayotokea mbele ya macho yetu yanatoa fundisho kubwa sana kwetu na vizazi vijavyo. Nimesikia na hata nimeshiriki kampeni za kutaka tuwe na TUME HURU ya Uchaguzi. Sambamba na hilo tumebananishana na chama letu la ajabu ajabu (CCM) likubali mchakato wa katiba...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

    Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala. Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji vijana 2 wa kupeleka bidhaa kwa wateja wetu (delivery)

    Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) : Jinsia: Yoyote Umri: Miaka 18 -25 Makazi : Kibaha hadi Kibamba Sifa: Awe anajituma Mshahara : Maelewano Piga : 0713-039 875 kwa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunahitaji maji, umeme wa uhakika, huduma bora za kijamii na uchumi imara siyo kutafuta sifa za kisiasa kwa kufurahisha magenge

    Nyerere aliwahi kutamka wazi, Kwamba maadui watatu wa taifa letu ni maradhi,ujinga na umasikini.Hivi vinapaswa kuwa kipimo kwa kiongozi yeyote aliyepo madarakani. Ni ukweli kwamba siasa zina umuhimu na nafasi ya kipekee katika kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli, Lakini porojo zisizo na...
  6. Analyse

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

    Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo. Maisha ni magumu, na tunalalamika kuwa ni magumu, lakini approach zetu kwenye baadhi ya mambo ndio huwa zinaongeza ugumu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bandari inatosha kuendesha uchumi, tunahitaji maamuzi ya kimapinduzi tusirudie yale ya TICTS

    TANZANIA imekuwa kiungo muhimu kwanchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati. Bandari zake za Dar es Salaam, Tanga naMtwara zimekuwa lango muhimu la bidhaa na biashara kwa nchi za Zambia, Zimbabwe, DRC, Malawi, Burundi, Rwanda na hata Uganda. Hivi Karibuni nikiwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Dkt kumekuwa fashion za kisiasa. Wananchi tunahitaji matokeo

    Najua Tanzania kuanzia wakati wa Kikwete imekuwa kama sifa kuwa na PHD hata kama ni za kupewa, kupendelewa au kununua. Kwa wanajua elimu huwezi na ni vigumu kuweza kupata PHD ya kweli wakati wewe ni waziri. Kuna mawili kama umepata PHD yako kama waziri kwanza inawezekana hufanyi kazi yako vizuri...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania ‘Mwanaharakati’: Msamiati uliopewa mtazamo hasi - Tunahitaji mgongano wa kimawazo ili Nchi iweze kusonga mbele

    ‘Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati. ‘(2) Kila raia anayo haki ya...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji katiba iliyo juu ya watawala

    Makamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali. Kwa Tanzania hii haiwezi kutokea kwa katiba tuliyonayo kwani watawala wako juu ya katiba. Tunahitaji katiba mpya...
  11. blogger

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji tathimini ya safari za Rais Samia

    Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini. Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa...
  12. Mbwilimbwili

    JamiiForums Tanzania Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania 2025 Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani kuliko kawaida

    Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu. Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali. Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua. Najua siku chadema wataanza mikutano ya...
  14. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Afrika tunahitaji chakula kuliko Demokrasia

    Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza. Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza. Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Magori: Tunahitaji kiungo mkabaji na namba 9 na beki 2/3 siyo kiungo mashambuliaji

    Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa? Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya...
  16. mrdocumentor

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunahitaji kuwakopesha lakini hamkopesheki, tunahitaji kukopa lakini hamtushawishi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo zimebarikiwa vijana wapambanaji sana. Hii ndio nguvu kazi ya taifa na ndio chanzo halisi cha pato la taifa kutokana na jasho lao linalovuja kila uchwao. Wapo vijana wakulima, wavuvi, wafanyabiashara, wapiga debe na wengine wengi. Picha kutoka...
  17. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunahitaji kujenga taasisi huru na imara ili kuyafikia maendeleo endelevu

    UTANGULIZI Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa kwa wananchi, yanapaswa kuwa endelevu kwa kuhakikisha kuwa kunakuwepo misingi imara ya kiuchumi...
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana. 1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji akina Antony Mtaka wengi zaidi katika nchi yetu

    Taifa letu linahitaji watu wenye Kariba ya ANTONY MTAKA yule mkuu wa Dodoma wengi zaidi kama 1000 hivi ili washike nyazifa na vitengo mbalimbali serikalini. Kwanza nikili sijawahi kumuona na Wala simfahamu na ikitokea tumekutana sehemu ambapo hakuna shughuli kubwa ya kiserikali naweza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Rais ambae ni Mwanasiasa Bora au Mzalendo?

    Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo. Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
Back
Top Bottom