beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,856
6,272
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.

Taarifa ya IMF inaeleza kuwa, vita hiyo inakwamisha Uchumi wa Tanzania kuimarika kufuatia mlipuko wa COVID-19, hivyo kuleta changamoto zaidi katika Maendeleo.

Tanzania ilishapokea Mkopo wa Dola Milioni 567 mwishoni mwa 2021 ili kukidhi mahitaji yake ya dharura wakati Mlipuko wa Virusi vya Corona ulipoathiri Maendeleo ya Kiuchumi, hususan Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa

=========

The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.

"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.

As a result, the fund's experts believe that the African country will need help to carry out reforms and "unleash its economic potential."

Tanzania is to immediately receive the equivalent of $151.7 million. It had already received a loan of $567 million at the end of 2021 to meet its most urgent needs, when the Covid-19 pandemic had severely hampered its economic development, particularly in the tourism sector.

The war in Ukraine has caused food and fuel prices to soar worldwide, and the rise in wheat prices is "particularly worrying," said the IMF in a recent report entitled "A new shock and little room for maneuver," because sub-Saharan Africa imports 85 percent of its cereal consumption, with particularly high amounts going to Tanzania, Ivory Coast, Senegal and Mozambique.

The project that was announced on Monday, which is part of the Extended Credit Facility (ECF), should help finance reforms to improve Tanzania's financial stability, carry out public investments and support the private sector.

"Recognizing Tanzania's strong track record in reform implementation, directors supported the authorities' requests for an ECF arrangement to meet pressing financing needs," said Bo Li, an IMF official quoted in the statement.

Among other objectives, he also mentioned the importance of continuing vaccination campaigns on a larger scale

Source >>> IMF greenlights $1 bn loan to Tanzania
 

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
2,366
3,494
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika ...
Mikopo, Mikopo, Mikopo, Mikopo.

Mwaka mmoja na miezi mitatu mmeshakopa zaidi ya Trilioni 20, Kasi mbona kubwa Sana?

Bunge mbona halishirikishwi juu ya Mikopo hiyo? Anaamka waziri ni kukopa tu.

Pesa Huwa haitoshi, Punguza matumizi ya Serikali ni MAKUBWA mno.

Tunataka iandikwe KATIBA mpya itokanayo na RASIMU ya Judge WARIOBA.

Pawepo na kundi la Professionals waliobobea ktk masuala ya Uchumi na fedha watakaokuwa HURU, wafanye maamuzi ya kuishauri Bunge na Serikali juu ya faida, hasara na alternative za Mikopo Kwa Nchi.

Ameeeen.
 

MoroOne

Member
Dec 12, 2018
76
163
Waendelee kukopa sana, ila na sisi mtukopeshe huku kwenye kilimo. Una degree, una shamba, shamba lina miti ya miaka 10, unapeleka hati bank lakini bado unazungushwa kupewa hata milioni 1, ya kuimalisha kilimo. Sasa kama ajira hakuna basi tuwezesheni mikopo. Serikali inakopa, basi nasi tukopeshwe.
 

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,853
12,450
Waendelee kukopa sana, ila na sisi mtukopeshe huku kwenye kilimo. Una degree, una shamba, shamba lina miti ya miaka 10, unapeleka hati bank lakini bado unazungushwa kupewa hata milioni 1, ya kuimalisha kilimo. Sasa kama ajira hakuna basi tuwezesheni mikopo. Serikali inakopa, basi nasi tukopeshwe.
Muwe mnafuatilia mipango ya Serikali nyie watu wajinga wajinga wa miaka hii..

Nani aje akutafute wewe as an individual? Serikali imeandaa mipango na inawalenga wakulima lakini kutafuta fursa ni wewe hapo sio Serikali ikutafute, vinginevyo mtaishia kulalamika hovyo mitandaoni..

Moja ya hizo fursa ni hizi hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220711-130311.png
    Screenshot_20220711-130311.png
    346.7 KB · Views: 9

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
2,366
3,494
Waendelee kukopa sana, ila na sisi mtukopeshe huku kwenye kilimo. Una degree, una shamba, shamba lina miti ya miaka 10, unapeleka hati bank lakini bado unazungushwa kupewa hata milioni 1, ya kuimalisha kilimo. Sasa kama ajira hakuna basi tuwezesheni mikopo. Serikali inakopa, basi nasi tukopeshwe.
Hata mtaani ukiona Jirani Yako anawaza mikopo Kila uchwao na Hana biashara yoyote ya maana jibu ni Rahisi,

HALIPI YEYE MIKOPO HIYO.
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
22,431
17,978
Taarifa ya IMF inaeleza kuwa, vita hiyo inakwamisha Uchumi wa Tanzania kuimarika kufuatia mlipuko wa COVID-19, hivyo kuleta changamoto zaidi katika Maendeleo

Tanzania ilishapokea Mkopo wa Dola Milioni 567 mwishoni mwa 2021 ili kukidhi mahitaji yake ya dharura wakati Mlipuko wa Virusi vya Corona ulipoathiri Maendeleo ya Kiuchumi, hususan Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa
Zitaimarisha mizizi ya baadhi ya familia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Top Bottom