tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Bila shaka huu siyo msimamo wa TBC

    Hbr wanajamvi, Jana timu yetu ta Taifa pamoja na kufungwa na Morroco lakini walijitahidi kwa kadri ya uwezo waliokuwanoa. Kitu kilichonisikitisha ni mtangazaji mmoja wa TBC kutoa maneno ya kashfa kuhusu eneo moja la nchi yetu linaloitwa Mbagala. Eneo hili nadhani liko katika mkoa wa Dar es...
  2. C

    JamiiForums Tanzania TBC vipi haionekani kwenye kifurushi cha bure dstv

    Kwema wakuu, Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

    Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ? Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe...
  4. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  5. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Ombi: Mechi ya Taifa Stars ioneshwe TBC 1

    Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa wawakilishi wetu, ninaamini kila atakaye ingia atafanya uzalendo wa kuishangilia timu yetu big up sana...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF

    Wanabodi Live on TBC: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF, Lindi. https://www.youtube.com/live/fYB_7KkRpdg?si=ulkYTnJyPEdun8YL Karibu. Paskali
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kamati kuhusu ripoti za CAG kwa hesabu zilizokaguliwa za serikali kuu na mashirika ya umma kwa mwaka 2022

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 3, leo Novemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/Px2Csdrfk20?si=ydhC7gCMmMBrjxso === TAARIFA YA KAMATI KUHUSU RIPOTI ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA...
  8. Huyaa Dr

    JamiiForums Tanzania TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi

    Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji. Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius. Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Leo Natimiza Miaka 2 Bila Kuangalia TBC 1

    Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele. Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
  10. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

    Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live on TBC: Revo wa TIC Azungumzia Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja, TeIW Utakaofanywa na Waziri Mkuu Majaliwa 25 Sept. Mlimani City

    Watch TBC live ! https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli. Kwa vile sio wote wenye access na TBC saa hizi, nitawaletea kwa uchache yale ya muhimu aliyozungumza. Mkurugenzi...
  12. gaspern gaspal

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kero yangu kwa vyombo vya habari televisheni na redio

    Naandika kuhusu mambo ambayo yamekuwa yanafanyika mwenye vyombo hivi vya habari pendwa na vyenye watumiaji wengi. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ukuaji mkubwa wa tasnia hii ya habari hapa nchini, lakini katika ukuaji huo kumekuwa na mambo ambayo yanafanyika au kufanywa ambayo yanakua...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  14. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TBC yatangaza nafasi mpya za ajira

  15. J

    JamiiForums Tanzania TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

    SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Rais Samia, Kikeke apewe Ukurugenzi TBC pengine ataleta mabadiliko

    Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20) Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba...
  17. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji

    Hope wazima wana JF, Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

    David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Leo TBC wako busy kweli kweli na mkutano wa CHADEMA...kwa kweli kumekucha!

    Picha inajieleza .... ====== Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyoandaliwa na baraza la wanawake la chama hicho...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hongera TBC kwa uboreshaji wa vipindi vyenu

    Ni ukweli usiopingika kuwa tukivizungumzia vyombo vikubwa vya habari nchini, hatutasita kulitaja shirika la habari Tanzania. Hii ni kutokana na ukongwe na jina lililojijengea kutoka radio Tanzania hadi TBC na hata uwezo wa kuwafikia wanachi Tanzania nzima. Ni wazi kuwa mfumo uliokuwepo awali...
Back
Top Bottom