Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

rutajwah

Member
Nov 17, 2022
90
91
Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne,

Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu.

So nimekuja hapa kwa wanajf naomba msaada wenu. m shda yangu nipate zile za local ambazo huitaji kulipia

Natanguliza shukrani
 
Jaribu kulipia hata kifurushi cha 10k kwa mwezi zitarudi. Itakuwa wamekata ili ulipie king'amuzi.
Soko la Startimes kila siku linashuka kutokana na kuwepo kwa Azam na Dstv.
N.B
Jaribu kureset kwanza king'amuzi chako uone km zitarudi
 
10 k mbali lipa buku 4 itafunguka hiyo akaunt itaamka
 
Back
Top Bottom