SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 3,554,783,957,000.00. Kati ya fedha hizo, Shilingi1,468,238,449,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Ujenzina Shilingi 2,086,545,508,000.00 ni kwa ajili yaSekta ya Uchukuzi.
Swali inakuwaje bajeti ya Trilioni 3.5 inapitishwa bungeni bila wananchi kujua ina mambo gani ndani yake na kwanini ifichwe badala yake TBC imekwenda kujiunga na matangazo ya moja kwa moja Arusha ya ufungaji wa maonyesho ya elimu ya ufundi.
KULIKONI?