tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. Logikos

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC sio Free to Air Tena?

    Naomba kujuzwa hii TBC inayoendeshwa kwa Ruzuku zetu ni lini imebadilika kutokuwa Free to Air ? Kama ni issue za Word Cup huu ndio utapeli kwamba watu wanunue vifurushi ili waone mama anaupiga mwingi ?, Huyu Nape na hawa TCRA wameshindwa Kazi ? au watafuatilia na kuleta majibu baada ya Kombe la...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nimepata ujumbe kuwa TBC imeingia ubia na Airtel TV

    Leo nimepata ujumbe toka TBC ukinijulisha kuwa niangalie kombe la dunia kupitia Airtel Tv kwa kutumia simu yangu! Airtel ni kampuni ya biashara ya mawasiliano ya simu, je, TBC inapoitangazia biashara kwa kupitia ujumbe mfupi kwenye simu nayo inalipwa? Na TBC imeipataje namba yangu ya simu.
  3. Protector

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu TBC kutokurusha mechi zote za kombe la Dunia

    Husikeni na somo tajwa hapo juu. Nimeona watu wakilaumu kituo cha Taifa kutokurusha mechi zote live. Kama ulikuwa hujui TBC wamepewa idhini ya kurusha mechi za bure (Free To Air - FTA). Ili kuona mechi zipi zitarushwa na TBC angalia hapo kwenye ratiba ukiona FTA ndiyo ujue hiyo ndiyo...
  4. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania TBC hiyo Wedi Cup vipi?

    Si juzi tu TBC wamepiga pang'ang'a mingi kwamba oooh, wanaonyesha wedi kapu....mbona tunaambulia kuona Muheshimiwa akifungua ma project ya mwendazake? Halafu najipata nimeshikwa na hasira maanake sioni kama huyu mama anaelewa uhuni wanaotufanyia TANESCO Yaani nimeacha kujivunia kwa mbongo...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

    Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi.
  6. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa kisimbusi cha Azam kuiondoa TBC kwenye free local channels?

    Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza kuwa ndiyo sababu ya kisheria? ===== Updates Waziri Nape Nnauye ameandika Twitter, amesema tayari...
  7. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Azam achieni chanel ya TBC Taifa watu waangalie kombe la dunia

    Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote Hii inchi inachezewa sana
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TBC: Kombe la Dunia tutaonesha Full HD

    Sie watazamaji yetu macho, ngoja tuone kama kutakuwa na ukweli au sound kama ilivyo desturi yao.
  9. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania TBC inapoteza wafuatiliaji kwa mambo ya kujitakia wenyewe

    Mwanzo nilikuwa sina uhakika sana kama TBC TANZANIA inafatiliwa na inawasilizaji wengi sana . ila baada ya kutazama interview ya Salama na Oscar Oscar. ndo nikajua na nikathibitisha kuwa Tbc Tanzania ina wasikilizaji wengi sana. nadhani na nilitajia kuwa TBC TANZANIA ingekuwa mfano bora kwa...
  10. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC kuonesha mechi 28 za Kombe la Dunia Qatar

    Habari wadau wa michezo, Kuna tetesi au taarifa ya kweli ikihusu TBC1 kuonyesha mechi za Kombe la Dunia nchini Qatar mechi takribani 28 ni jambo la kupongezwa sana. TV'S Kama KBC, UBC, MBC YA Malawi hizo TV's kila Kombe la Dunia wanaonesha ila TBC tu ndiyo huwa wana tuweka gizani, hata mechi...
  11. saidoo25

    JamiiForums Tanzania TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

    Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali Baada ya...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Spika amvaa Mwigulu bungeni kushindwa kujibu swali la Mpina

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson ameitaka wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali namba 129 lililoulizwa na Mbunge Kisesa Luhaga Mpina, ambaye aliitaka serikali kutoa maelezo ya kwanini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa...
  13. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi ya Sayansi na Teknolojia katika kuhifadhi mazao ya kilimo yanayoharibika haraka mfano matunda na mboga za majani

    MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KUHIFADHI MAZAO YA KILIMO YANAYO HARIBIKA HARAKA MFANO MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI ILI KUMKWAMUA MKULIMA Ilikuwa ni jioni moja nimetoka nyumbani kwenda kununua mahitaji kwaajili ya matumizi ya wiki katika soko la mabibo jijini Dar es salaam, lakini...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

    Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!. Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa. Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
  15. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Asante TBC FM: Leo nimeisikia sauti ya Hayati Edward Moringe Sokoine

    Habari za Asubuhi wakuu, hongera kwa maandalizi safi kwa ajili ya sensa na Makazi ya Mwaka huu hapo kesho 23/08/2022. Leo asubuhi muda kati ya saa mbili mpaka saa tatu. Nina furaha sana, kwa kufanikiwa kusikia sauti ya Hayati E. M. Sokoine kupitia Redio yetu ya Taifa ya TBC FM. Asante sana TBC...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani haka Kautamaduni kabaya kangeishia tu kwa RC Chalamila wa Kagera kumbe kanaendelezwa na kwa Wengine?

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Eric Benedict Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL). Rais Samia alitengua uteuzi wa Hamissi mapema mwezi Julai mwaka huu na nafasi hiyo kuzibwa na Bw...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Stephen Kagaigai ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TBC

    Rais Samia Hassan amemteua Eric Benedict Iamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Pia, Stephen Nzohabonayo Kagaigai ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa "warembo wa TBC" Eliza na mwenzako Neema, ni majimbo yaliyo huru?

    Jamani hill ndio swali langu mwenye kuweza kutoa majibu afanye hivyo. Msinulize maswali please.
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kualikwa TBC. Zitto Kabwe Aalikwa Live Program TBC. Hongera TBC, Hongera Dr. Ayub Rioba, Huu ni Uthibitisho Sasa TBC ni TV ya Taifa ya Wote!

    Wanabodi, Kwa watu wasiojua mambo ya utangazaji na haswa live programs mnaweza msielewe msingi wa pongezi zangu, kwa vile mimi ni Mtangazaji na nilifanyia kazi, TBC, I know what it takes kumualika mpinzani Vocal kama Zitto Kabwe kwenye a live program ya TV, hivyo hizi hongera zangu kwa TBC na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa TFF kuipa TBC haki miliki ya kutangaza live mechi zote za NBC premier league ni wa kishenzi

    Kwanza mkataba huu ni wa kifisadi na unazinyima haki ya kibiashara radio za jamii. TBC ni redio ya umma na ina vyanzo vingi vya mapato ikiwa na pamoja na kodi zetu hivyo kuipa hati miliki hiyo siyo haki kabisa kwa radio binafsi ambazo pia zingependa kuwapa uzoefu watangazaji wake na kuongeza...
Back
Top Bottom