Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,992
Hope wazima wana JF,

Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram kutafuta account yake sijaipata.

Kuna mtangazaji fulani wa kike TBC ni mzuri ni zire pisi kali, sijui kaolewa anavaa vimini fulani hivi.

Bora azam tv watangazaji wapo kimaadili zaidi na wanavaa nguo za heshima

Watangazaji mjitahidi kuvaa nguo za heshima, mnajua habari ni kitu serious sasa mnatutoa kwenye mood watazamaji.

Mpaka watazamaji tunajiuliza hii ni habari kweri au ni fashion show
images (12).jpeg
images (11).jpeg
images (10).jpeg
 
Hope wazima Wana JF

Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku,nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV,baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka,yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia nimeenda instagram kutafuta account yake sijaipata....

Kuna mtangazaji flani wa kike TBC ni mzuri ni zire pisi kali,sijui kaolewa anavaa vimini flani hivi

Watangazaji mjitahidi kuvaa nguo za heshima mnajua habari ni kitu serious Sasa mnatutoa kwenye mood watazamaji.
🤣😂 Huyo wa Itv jina lake kama fa,,,, mi,,l 😁 ndo naona akienda kukaa ila mkuu mke wa mtu huyo sjiui
 
Hope wazima Wana JF

Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku,nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV,baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka,yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia nimeenda instagram kutafuta account yake sijaipata....

Kuna mtangazaji flani wa kike TBC ni mzuri ni zire pisi kali,sijui kaolewa anavaa vimini flani hivi

Watangazaji mjitahidi kuvaa nguo za heshima mnajua habari ni kitu serious Sasa mnatutoa kwenye mood watazamaji.
Nyege zako usizozidhibiti ipo zitakufanya Ubake hata Kifaranga cha Kuku au Bata. Kuwa makini!!!
 
Hope wazima Wana JF

Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku,nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV,baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka,yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia nimeenda instagram kutafuta account yake sijaipata....

Kuna mtangazaji flani wa kike TBC ni mzuri ni zire pisi kali,sijui kaolewa anavaa vimini flani hivi

Watangazaji mjitahidi kuvaa nguo za heshima mnajua habari ni kitu serious Sasa mnatutoa kwenye mood watazamaji.
Umbo namba 8 ndio nini acha uhuni kijana
 
kuna wa channel ten cheupe flani hivikinatangaza habari za biashara dah aisee ananifanyaniwe karibu na habari za biashara wakati mi sio mfanyabiashara😅😅😅
😂😂😂😂
Dah kumbe nakosa vingi inabidi nianze na kawaida ya kuangalia habari za kila channel
 
Back
Top Bottom