tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA tulieni huu sio wakati wa kuleta kokoro, Uongozi dhaifu wa Mwenyekiti kuishiwa mbinu na kuanza kutengeneza makundi tatizo lilianzia hapo

    Wana JF Kilichofanya vyama vya upinzani kupigwa chini, ni matokeo mabaya ya uongozi wa Mbowe na kundi lake tiifu. Ndani ya chama chao ilianza fukuzana fukuzana. Ikaja susia susia watu walioona mbali wakaanza kujiondoa kwa kuunga juhudi upande wa pili. Hayo pia yaliyokea CUF ya Lipumba. Uovu kwa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

    Very funny but questionable Mtu pekee alieweza kutawanya kikundi hiki cha wanaume wa kitanzania ni polisi mmoja tu, tena ni dereva ambae hakuwa hata na chochote. Jibu la ni moja tu ....UOGA 😂😂 Polisi kashuka bila chochote na hii ni ishara tu kwamba alikuwa ana nia njema kabisa
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwani Maandamano yana tatizo gani watu kudai haki na ni halali askari kuyazuia?

    Wasalaam wajumbe! Mimi ninashangaa sana wanaodai kuwa ooh sijui maandamano yatavuruga amani ya nchi, kwani maandamano si yapo kikatiba na yameruhusiwa kabisa pale mtu anapohisi kua haki yake imepokwa? Kama waandamanaji wanadai kua maandamano ni ya amani na wao hawatashika silaha au kitu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
  6. JamiiForums Tanzania SMS yenye jina Tundu Lissu yaruhusiwa, ilikuwa ni tatizo la kiufundi

    Baaada ya Wateja wa baadhi ya Makampuni ya Simu kulalamika kuwa wakituma SMS yenye neno "Tundu Lissu" inafeli sasa tatizo hilo limeisha baada ya kushughulikiwa. Inadaiwa lilikuwa ni tatizo la kimtandao.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ina uhaba wa skills. Je, kuna tatizo katika Mfumo wa Elimu?

    Habari za wakati huu, Katika suala la ujenzi wa uchumi na maendeleo moja kati ya vitu muhimu sana katika labour force ni skills.Mfumo wa elimu unalenga kuwapatia watu skills and knowledge. Skills ni uwezo wa kufanya jambo kikamilifu na Knowledge ni uwezo wa kuelewa jambo kikamilifu. So...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

    Wakuu habari, Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably. Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Napata maumivu nisipofanya mapenzi kwa muda mrefu

    Salaam wana Jf Naomba msaada jamani! Nina umri wa 26, shida niliyo nayo napata maumivu makali sana nisipo fanya mapenz kwa muda mrefu. Maumivu yanakuwa katika mirija inayotoa mbegu kutoka kwenye korodani ,kisha yanapanda na kunakua na viuvimbe flani wakati huo, hii ilinianza kabla ya kuoa na...
  10. JamiiForums Tanzania Nini Suluhu ya tatizo la foleni barabarani mvua zikinyesha

    Tatizo la foleni barabarani limekuwa likijirudiarudia kila mvua kubwa zikinyesha. Ukiangalia, chanzo kikubwa ni baadhi ya njia za kuingia na kutoka maeneo mengi hasa mjini kutopitika kutokana na kujaa maji hivyo kufanya magari kutegemea njia chache. Ikishakuwa hivyo kila mtu anakuwa na uharaka...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupata AVN number

    Habari za leo wakuu, kuna shida moja katika upatikanaji wa AVN kwa wahitimu katika ngazi ya stashahada, hasa katika baadhi ya kozi zinazotolewa na baadhi ya taasisi za elimu. Mimi ni mhitimu wa kozi ya UALIMU ELIMU YA UFUNDI SECONDARY ngazi ya stashahada, niliomba AVN nikapewa lakini kila...
  12. JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

    Wakuu Salaam: Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho. Hawa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro, mchukulie hatua kali OCD wilaya ya Hai

    Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Tatizo lenu CHADEMA ni kuwa na mgombea Urais bila Wabunge

    Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa yale aliyokwishafanya. Kwa Lissu kazi ni kubwa zaidi maana uzuri wa ahadi hautoshi. Wanasiasa wote...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tatizo letu ni kuiondoa CCM madarakani - Miaka 56 imetosha

    Tatizo sio wagombea, kubwa ni system nzima katika kuiongoza Tanzania, kuiondoa mfumo huu wa kimwinyi na kibepari ni lazima CCM iondoke ikae benchi, kama itakavyokuwa baada ya ushindi wa kimbunga wahindi wanaita tufani hapo tarehe 28 kuamkia 29 mwezi huu wa kumi 2020. Inaanzwa na kumuondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Sancho ndio suluhisho la matatizo ya Man United?

    Wakati dirisha la usajili likikaribia kufungwa huko barani ulaya kumekuwa na habari mbalimbali zikiendelea lakini kubwa ni winga wa Borrusia Dortmund Jadon Sancho akihusishwa na kujiunga Manchester United.Msimu uliopita ulikua ni msimu mzuri sana kwa Jadon Sancho kwani aliweza kufunga magoli 17...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana una miaka 30 halafu unadai hujapata mtu wa kuoa? Utakuwa na tatizo sio bure

    Wandugu natumai wote wazima. Kama kichwa kinavyoeleza, una umri wa miaka 30 unataka kuoa/lakini hujapata mwenza, bila kupepesa utakuwa na matatizo sio bure. Jichunguze kasoro zako sehemu hizi, ukikosa niite mchawi Kiakili Kiafya Kimtazamo Kiitikadi. Sasa ili muamini ninachosema kuwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa hapa ni elimu yetu na pia hao walio mfanyia tathmini ya ajira huyu afisa wa serikali

    Kama stakabadhi ya ofisi ya serikali Ina makosa ya kiuandishi namna hii, tena kwa lugha ya taifa. Hii inaashiria nini?
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa bariadi mmekopwa pamba na hamjalipwa pesa zenu hadi leo hii sio haki. Nipeni kura Oktoba 28, niwe Rais nitatue tatizo hili "Pro. Lipumba"

    WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA" BARIADI- SIMIYU Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha wakulima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…