tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tamsana

    Msaada: Laptop yangu aina ya Toshiba Tecra ina tatizo la kuwaka (blinking) taa ya charge

    Habari ya majukumu wadau. Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout. Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
  2. Course Coordinator

    Nguvu za kiume vs Hamu ya tendo

    Wasalam. Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern medicine. Tatizo la nguvu la nguvu kiumbe limekuwa neno la kawaida kwa sisi wanaume hivyo kupelekea...
  3. Education Mentor

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder). Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo hili limekuwa halisikiki lakini lipo kila itwapo leo katika jamii zetu na wapo wengi baadhu yetu...
  4. Nigrastratatract nerve

    GE2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

    Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu. Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu. Chama...
  5. Nangose 1

    Ulaji wa Maharagwe na tatizo la kujaa kwa tumbo/kuuma

    Jamani nipo Huku kwa wangoni kjiji fulani kama week plus, ila kutokana na mazingira inanibidi nitumie maharagwe everyday kama mboga kuu kwa haya maeneo kiukweli haziishi Siku mbili lazima nipige maharagwe. Sasa tatizo najiona tumbo limeaanza kujaa gas sometime linauma hasa nyakati za usiku...
  6. JituMirabaMinne

    Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector nozzle, fuel pressure regulator, fuel pump, vacuum leaks, sensors kama MAF, MAP, O2, IAT, ECT n.k. In...
  7. D

    Video za YouTube zinastream kama kawaida kwenye TV tatizo Intenet Browser

    Naomba kusaidiwa tatizo hili lililoanza hivi karibuni. Niliponunua na kufanya setting za kawaida za hii Smart TV Sony bravia yenye bowser Opera nilikuwa nikiona videos zote za you tube na za site mbalimbali kama kawaida. Sasa imeanza kuleta shida kwenye inteneti browser video haziplay...
  8. F

    Ongezeko kubwa la watu wanaovaa miwani, tatizo nini haswa?

    Halo JF. Mitaani kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kuvaa miwani tofauti na hapo zamani. Je macho ya Watanzania yanaharibiwa na mfumo wa maisha ya nyakati hizi Kama vyakula, dawa za hospital, mafuta ya kupaka usoni, kushinda muda mrefu mitandaoni, nk. Je tatizo nini haswa maana hadi vijana...
  9. Kididimo

    Tetesi: SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo

    Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA. Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu...
  10. Chizi Maarifa

    Katika ndoa ukiona tatizo huliwezi tengeneza tatizo lingine utakalo limudu

    Mke wangu mkali balaa, papuchi ananipa kwa ratiba. Feminist...still ananipiga bit kuwa siku agundue nina mchepuko ataanza na huo mchepuko kwanza kuufanya kitu ambacho hautajuta. Ni mjeuri mpaka nlishawahi mwamba mbata mara kadhaa na bado akawa analia huku ananisema kijeuri.siku nikaamua...
  11. Mayova

    Naomba msaada wa tatizo la mtoto kukoroma kama ana kamasi puani

    Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani. Nimetumia dawa kadhaa kama vile mucolyn, citrizine na ephedrine nasal drops lakini bado hata hija saidia kitu. Naombeni...
  12. Namche Bazar

    Tatizo la maji Tanga mjini

    Heshima kwenu wote. Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk Tumeenda kwenye ofisi...
  13. kagoshima

    NBC bank rekebisheni tatizo la ATM card please! Or else...

    Kuna tatizo la ATM cards NBC hazisomi kwenye ATM mashine. Ukienda bank ni danadana jaribu baadaye , jaribu kesho, Mara ooh tunarekebisha huku wateja wenu tukiendelea kuingia cost ya 6000 kila ninapofanya transaction ya kudraw hela kupitia dirishani. Kuna kuna tatizo limeshindika basi punguzeni...
  14. JamiiForums

    Ugonjwa wa kiharusi/ kupooza (stroke): Kinga, tiba na jinsi ya kukabiliana na maradhi haya

    MARADHI YA KIHARUSI Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya masaa 24. Kulingana na shirika la afya duniani kiharusi ni nakisi katika...
  15. proxy

    Ni wapi nitapata hospital au mtaalam wa kutibu tatizo la macho?

    Habari za mchana wandugu, Mwanangu ana tatizo la macho, akiwa anaangalia anafanya kama haoni vizuri, yaani macho anafumbua kwa mbali. Hii hali hutokea zaidi kwenye jicho moja, pia akiwa ameshika kitabu huwa anasogeza sana karibu na macho ili aweze kusoma vizuri. Nimempeleka hospital moja ya...
  16. Tabutupu

    Hii ndio design pekee ambayo ingemaliza tatizo la foleni Mbezi Mwisho

    Kwanza 1. Kuna nafasi ya kutosha 2. Gharama yake ni ndogo 3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele. Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design...
  17. KimChi

    Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

    Habari wakuu, Nimekuja gundua wadau wengi wa JF wanashuhuda za uhakika wa 100% za Tiba fulani za Asili kwa kuwa binafsi au ndugu zao wa karibu walizitumia kutatua Maradhi, Ulemavu au matatizo yaliyowasumbua na wakafanikiwa. Hivyo nachukua fursa hii kumkaribisha yeyote mwenye kujua Tiba Asili...
  18. Y

    Je, kuzaa mtoto mwenye mapungufu fulani ni tatizo la kibailojia or mapenzi ya Mungu?

    Natumai hamjambo wakuu, Wakuu naombeni usaidizi wenu katika hili, je kumzaa mtoto akiwa mlemavu wa ngozi, macho, kiziwi, bubu, kilema or hata sura mbaya inatokana na sababu za kibailojia or mipango ya mungu?
  19. Cvez

    Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  20. Money Penny

    Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

    Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza Kwenda nakutana na mambo yako hivi💃💃 Dada anapambana kweli kweli doh 🙆🙆🏃🏃 Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote
Back
Top Bottom