HP Probook: Bios inaload taratibu dakika 5, ila windows haina tatizo

dudu jeupe

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
374
1,000
Hili tatizo linaniumiza sana kichwa

Navyowasha PC ile system ya hp ambayo inaload kabla ya windows kuload IPO taratibu sana, nliupdate BIOS ila wapi na hio bios ile update kwa masaa mawili

Napowasha PC inakua haionyeshi kitu kwa dakika hivi alafu bios inayokea chats ya HP inakuwa ivoivo kama dakika 2 alafu ndo linatokea lile duara linaload kama dakika 3 ikimaliza hapo ndo windows inaload bila tatizo

Nini tatizo
 
DeWitt J

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
1,898
2,000
Hivyi vi-pc havitaki mzigo mzito i know lazima umeijaza vitu ni ajabu.
.
Do this tafuta External tunza vitu vyako heavy humo.
Alafu muache kununua hivyo vi-pc vina heat sana
 
dudu jeupe

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
374
1,000
Hivyi vi-pc havitaki mzigo mzito i know lazima umeijaza vitu ni ajabu.
.
Do this tafuta External tunza vitu vyako heavy humo.
Alafu muache kununua hivyo vi-pc vina heat sana
Mkuu hiki Ki pc kina hard disk ya 1 terabyte hadi sasa nimetumia GB 500 tu yani nusu ya hard disk, hapo nipunguze zaidi au....hapo kwenye Ku heat sijapata hili tatizo mkuu....sifa zake nyingine INA processor ya core i5 kizazi cha saba, na ram ddr4 8gb,
 
DeWitt J

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
1,898
2,000
Mkuu hiki Ki pc kina hard disk ya 1 terabyte hadi sasa nimetumia GB 500 tu yani nusu ya hard disk, hapo nipunguze zaidi au....hapo kwenye Ku heat sijapata hili tatizo mkuu....sifa zake nyingine INA processor ya core i5 kizazi cha saba, na ram ddr4 8gb,
Sir naongea kwa uzoefu, specification za iliyokuwa yangu ni zaidi ya hiyo uliyonayo yangu ilikuwa iCore 7! And niliiuza kwa bei chee kwa matatizo kama haya.
.
Mimi ni mzuri kwenye Computer maintenance but hivi vi-pc vimezidi vina ujinga mwingi.
Hapo ndo kimeanza kitakunyoosha
 
grand millenial

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
1,312
2,000
Probook sio aisee ni katika notebook ambazo zina matatizo mengi tu fanya kuiuza mapema tu mkuu .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom