tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tatizo letu ni kuiondoa CCM madarakani - Miaka 56 imetosha

    Tatizo sio wagombea, kubwa ni system nzima katika kuiongoza Tanzania, kuiondoa mfumo huu wa kimwinyi na kibepari ni lazima CCM iondoke ikae benchi, kama itakavyokuwa baada ya ushindi wa kimbunga wahindi wanaita tufani hapo tarehe 28 kuamkia 29 mwezi huu wa kumi 2020. Inaanzwa na kumuondoa...
  2. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Je, Sancho ndio suluhisho la matatizo ya Man United?

    Wakati dirisha la usajili likikaribia kufungwa huko barani ulaya kumekuwa na habari mbalimbali zikiendelea lakini kubwa ni winga wa Borrusia Dortmund Jadon Sancho akihusishwa na kujiunga Manchester United.Msimu uliopita ulikua ni msimu mzuri sana kwa Jadon Sancho kwani aliweza kufunga magoli 17...
  3. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana una miaka 30 halafu unadai hujapata mtu wa kuoa? Utakuwa na tatizo sio bure

    Wandugu natumai wote wazima. Kama kichwa kinavyoeleza, una umri wa miaka 30 unataka kuoa/lakini hujapata mwenza, bila kupepesa utakuwa na matatizo sio bure. Jichunguze kasoro zako sehemu hizi, ukikosa niite mchawi Kiakili Kiafya Kimtazamo Kiitikadi. Sasa ili muamini ninachosema kuwa ni...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa hapa ni elimu yetu na pia hao walio mfanyia tathmini ya ajira huyu afisa wa serikali

    Kama stakabadhi ya ofisi ya serikali Ina makosa ya kiuandishi namna hii, tena kwa lugha ya taifa. Hii inaashiria nini?
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa bariadi mmekopwa pamba na hamjalipwa pesa zenu hadi leo hii sio haki. Nipeni kura Oktoba 28, niwe Rais nitatue tatizo hili "Pro. Lipumba"

    WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA" BARIADI- SIMIYU Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha wakulima...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

    Habari, Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji kwenye mirija ya uzazi. Nikapewa dawa, baada ya miezi mitano hali imerudi upya. Nakosa amani kabisa...
  7. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kwanini flyover Ubungo haimalizi tatizo la foleni?

    Naipongeza Serikali yetu kwa juhudi kubwa za kutuletea maendeleo ikiwemo kuboresha miundombinu yetu. Leo daraja la juu pia limefunguliwa kwa magari yanayotokea mwenge kuelekea Riverside lakini kinachonishangaza ni kwanini foleni bado ni kubwa sana kwa magari yanayotokea Kimara? Huenda...
  8. Syston

    JamiiForums Tanzania NIDA bado tatizo: Wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili

    Wanajamii, nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu; 1...
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu hii Alikiba kashindwa kung'ara YouTube, tatizo nini?

    Naona alikiba tangu atoe juzi ngoma yake ya mediocre hakaweza kabisa kuwa trending namba one youtube, Tatizo ni nini?
  11. Blue Icon Consultancy

    JamiiForums Tanzania Uwasilishaji wa Hitajio Katika Uandaaji wa Mchanganuo wa Mradi (Preparing a Need Statement)

    Uwasilishaji wa Hitajio (Need Statement) ni kipengele MUHIMU sana katika uandaaji wa andiko la Mradi. Uwasilishaji wa Hitajio una malengo makuu mawili (2) ambayo ni: Kuonyesha ni kwa namna gani TATIZO la mradi wako linarandana na matakwa/maslahi ya mfadhili (funder's interests/priorities)...
  12. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania NEC na ZEC wanaweza kulipasua taifa. Wanaharakati na viongozi wa dini mko kimya? Subirini tatizo

    Haiwezekani nchi nzima wanaokosea kujaza forms ni wagombea wa upinzani, haiwezekani wanazijaza forms vizuri ni wagombea wa ccm tu.Wagombea wa CCM wamesomea shule za nchi tofauti? Wakati NEC na NEC zinatoa semina kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa, CCM walikua na semina yao ya tofauti? Liwake...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

    Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana udhaifu wa kuwa na viongozi ambao wanahangaikia kuiba na kujitajilisha na chama kuwa maficho ya watu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Askari Magereza posho hawajalipwa, tatizo ni nini?

    oi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupata maumivu chini ya kitovu kwa mwanaume

    Preview Nina Maumivu chini ya kitovu, takribani ni miezi mitano sasa nime angalia Utra sound wamesema kuna vijiwe,nimetumia dawa lakini maumivu bado yapo pale pale na sina UTI, henia wala tezi dume. Naombeni msaada wenu wakuu
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

    Amani iwe nanyi wandugu! Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni?
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli amka Lissu ameshapita tatizo hukuona hata vumbi

    Yaani namshangaa Mheshimiwa Magufuli amebaki na kuachwa akiangalia live band tu,anakula starehe, Sijui kama anazo taarifa au wahusika hawampi na kumwambia ukweli,kuwa Tundu Lissu ameshauteka umma wa walio wengi na anaendelea kukata mbuga kwa kasi ya ajabu. Ukiangalia vizuri utaona Polepole...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

    Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana. Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

    Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
  20. Patriot

    JamiiForums Tanzania Siasa za kuegemea Ukabila, Dini na Ukanda ni tatizo linalokuja

    Katika kampeni zinazoendelea, tumeona sasa hata nyinbo za kisukuma zinatumika kueneza sera za chama. Kwa nini wa-TZ wanaanza kuona lugha za kienyeji ni muhimu kuliko ujumbe wa kitaifa? Je ni kufurahisha nafsi ya mkuu wa nchi bila kujali umma unaotawaliwa? Si mara ya kwanza. Kuna wakati...
Back
Top Bottom