Tatizo letu lilianzia hapa

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
259
293
Baba wa taifa hayati mwalimu JK -Nyerere aliwahi kusema tuko vitani bahati mbaya tumechagua silaha ambayo hatuna wengi wetu. Silaha yenyewe tumechagua ambayo wengi hawana SILAHA hiyo ni FEDHA.

Kuna siku moja niliweka hapa post inayoonesha posho na allowance ya Mbunge mmoja Dodoma per day ni laki tatu na arobaini. Post hiyo haikukaa hata dakika chache ikafutwa kabisa japo andishi langu lilitokana na analysis ya Mhe.Esther Matiko alivyoonesha jinsi wanavyolipwa.

Kwa hakika kwangu nikaona kama kuna watu wanaishi Dodoma na kulipwa take home ya karibu 340000 kwa mwezi na wanaishi kwa kweli nikaona kuna kitu hakiko sawa. Bado hujazungumzia mishahara minono ya wabunge, na malupulupu mengine.

Kimsingi matatizo tuliyo nayo katika nchi zetu za kiafrika kwa kiwango kikubwa naweza kusema yanaletwa na kipato kikubwa cha Wabunge wanachokipata wakati wa utumishi wao bungeni.

Naweza hitimisha kwa kusema malipo na malupulupu makubwa ya Ubunge ndipo tatizo letu lilipoanzia nawasilisha kwa great thinkers.
 
Wabunge wanafilisi nchi!!!! Halafu sioni hata impact yao kubwa kwenye majimbo zaidi ya kelele za siasa.
 
Mnajua kwamba kujadili mshahara na marupurupu ya Kiongozi wa umma ni kosa kisheria...
Mkuu Fuso kwa hiyo Esther Matiko alifanya kosa? Kusema wanalipwa 120,000/=na 220,000/= per day Wakiwa kazini Dodoma? Total 340'000/=
 
Baba wa taifa hayati mwalimu JK -Nyerere aliwahi kusema tuko vitani bahati mbaya tumechagua silaha ambayo hatuna wengi wetu. Silaha yenyewe tumechagua ambayo wengi hawana SILAHA hiyo ni FEDHA.

Kuna siku moja niliweka hapa post inayoonesha posho na allowance ya Mbunge mmoja Dodoma per day ni laki tatu na arobaini. Post hiyo haikukaa hata dakika chache ikafutwa kabisa japo andishi langu lilitokana na analysis ya Mhe.Esther Matiko alivyoonesha jinsi wanavyolipwa.

Kwa hakika kwangu nikaona kama kuna watu wanaishi Dodoma na kulipwa take home ya karibu 340000 kwa mwezi na wanaishi kwa kweli nikaona kuna kitu hakiko sawa. Bado hujazungumzia mishahara minono ya wabunge, na malupulupu mengine.

Kimsingi matatizo tuliyo nayo katika nchi zetu za kiafrika kwa kiwango kikubwa naweza kusema yanaletwa na kipato kikubwa cha Wabunge wanachokipata wakati wa utumishi wao bungeni.

Naweza hitimisha kwa kusema malipo na malupulupu makubwa ya Ubunge ndipo tatizo letu lilipoanzia nawasilisha kwa great thinkers.
Nilichokisema leo asubuhi mnaweza kukubali au kukataa Ila ukweli utabaki
Kujua mshara wa kiongozi uliemchagua ni wivu? Dahaaa.....
Mkuu kizaizai unakumbuka Mhe.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli kuna watu aliwaita VILAZA? Basi huyu MIXOLOGIST anaweza kuwa aina ya viumbe hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom