Tatizo la mwili kupasua kwa watu wazima

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
617
500
Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga.

Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza kuwasaidia. Heshima mbele
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,407
2,000
Wapunguze uzito

Wawe na mizunguko ya hapa na pale, kuzunguka kunaimarisha mifupa.

Wanywe maziwa hata nusu litre kwa siku. Akiamka tu asubuhi mpige glass ya maziwa na kabla hajalala jioni. Maziwa yana calcium ambayo huimarisha mifupa.

Kuhusu matatizo ya moyo onana na daktari, lakini mara nyingi wakipunguza uzito na matatizo ya moyo yanapungua.

Wazee wengi wakishastaafu huwa wanabadilisha utaratibu wa mlo. Breakfast anakula saa tano baada ya hapo saa kumi-12 jioni anakula lunch na dinner.
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,885

Sahivi wakizunguka zunguka nje si inaweza kuwa hatari kwao.Au hata ndani inafaa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom