johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,447
Waziri wa viwanda na biashara mh Bashungwa amesema tatizo la sukari sasa limekwisha baada ya shehena ya tani 20,000 kupokelewa jijini Mwanza kutokea Uganda.
Bashungwa amewataka wafanyabiashara kuzingatia bei elekezi na atakayekiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Bashungwa amewataka wafanyabiashara kuzingatia bei elekezi na atakayekiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!