tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OCC Doctors

    Tatizo la wasiwasi na hofu

    Ugonjwa wa Wasiwasi (Anxiety disorder) unaweza kutokea ghafla, kama hofu, au hatua kwa hatua kwa dakika nyingi, saa, au hata siku. Wasiwasi unaweza kudumu kutoka sekunde chache hadi miaka na hudumu kwa muda mrefu. Wasiwasi ni kati ya mashaka ambayo hayaonekani sana hadi hofu kamili...
  2. DreezyD98

    Msaada wa tatizo la PC

    Ninaomba anayejua jinsi ya kufix tatizo hili kwenye PC anisaidie. Nimejaribu kuupdate graphics. Nimeinstall window mpya lakini tatizo bado lipo. kuna muda huwa screen inakuwa sawa. Kuna muda screen inazingua kama hivyo. Chief-Mkwawa Ninatanguliza shukrani Nimeambatanisha picha hapa
  3. Lord Denning

    Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

    Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015 2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 -...
  4. Q

    DOKEZO Tatizo la maji Kibaha Mwanarugali mwezi mzima hayatoki, huduma kwa wateja wanasema tumpigie Waziri Aweso

    Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje! Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
  5. S

    Tatizo la umeme na maji

    Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu? Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru. Hivi nikwanini huu umeme Kama...
  6. Reptilia

    Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  7. K

    Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  8. M

    Tatizo la saratani ya ini

    Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo...
  9. Hyrax

    Diaspora wanatamani sana kuwekeza Tanzania tatizo watanzania wengi sio waaminifu

    Leo naandika kwa masikitiko makubwa kuhusu hali ya watanzania wengi kutokuwa waaminifu kwenye mambo ya msingi hasa yanayohusu pesa, kuna taarifa nimezipokea kutoka kwa rafiki wa rafiki yangu kwamba kuna rafikiye alipata connection ya kuingia partnership ya kibiashara na mtanzania mmoja aishie...
  10. BARD AI

    Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  11. T

    Tatizo ni sisi wenyewe

    Mimi ni bwana mdogo tu sijaona mengi kbsaa kuliko kaka na baba zangu lakini katika hichi kipindi kidogo nilicho zawadiwa uhai na kuishi huku na kule pamoja na kuona haya na yale nmekuwa nikijiuliza kwanini mataifa haya ya Africa na hasa Taifa langu hatupigi hatua na sio kwenye eneo moja ni...
  12. S

    Tatizo la kuvimba uso wakati wa asubuhi

    Wandugu habari! Mzee wangu ameanza tatizo la kuvimba usoni kila asubuhi kwa wiki tatu sasa na baada ya muda mfano saa nne asubh kuendelea anakuwa powa! Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna mtu anafahamu hii hali, kwa sasa Mzee yuko kijijini nategemea kumfuata weekend hii ili tuwaone watu wa...
  13. Notorious thug

    Tatizo ni yule Binti hajiamini!

    Yule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza. Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za...
  14. J

    Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Kwa heshima na taadhima, ninaandika kama mdau wa elimu nchini. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waombaji wanashindwa kuwasilisha maombi yao kwa wakati. Wengi wanaishia hatua ya demographic information tu. Wanapowasilisha (submit) hakuna mrejesho...
  15. J

    MSAADA: Tatizo la Camera ya simu kujiwasha ikiwa mfukoni nalitatua vip?

    Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
  16. R

    Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

    Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
  17. kekule benzene

    Tatizo la mwanga mdogo katika Computer

    Habarini za jioni wanajukwaa Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno...
  18. K

    Gavana Tutuba tueleze kwanini kuna uhaba wa Dola nchini

    Inaelekea hata Benki Kuu yetu haina lengo kwenye ajira. Angalieni wenzetu, kuna upungufu mkubwa wa dollar lakini hakuna maelezo ya kueleweka mpaka leo. - Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania BOT The primary objective of the Bank is to formulate, define and implement monetary policy...
  19. Dr Akili

    Tatizo la bandari ya Dar ni ufisadi uliokubuhu. Dubai hawana tatizo hili, sasa IGA inakujaje? Hata HGAs ni batili

    Hauhitaji kuwa mwanasheria kufahamu maana na dhana ya haya maneno ya IGA na HGA. Makubaliano ya taifa moja na taifa moja jingine au zaidi yenye nguvu za kisheria (legal binding), yanayohusu kushirikiana kutatua matatizo fulani yanayozikumba nchi zote husika yanaitwa Treaty. Maneno mengine...
  20. K

    Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    Mawazo yangu ya jinsi ya kutatua tatizo la dollar Tanzania 1. Serikali iongee na kampuni za utalii na kuwaomba walete pesa hapa utaratibu wa sasa watalii wanalipia hotel na karibu kila kitu kabla hawajaja kutalii na pesa karibu zote zinabaki kwenye bank za nje 2. EAC tuharakishe kuwa na pesa...
Back
Top Bottom