tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  2. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

    Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu. Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali. Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
  4. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo la kiufundi mahali kwenye kizazi hiki tukubali au tukatae au ni njia mpya ya siasa?

    Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete. Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia. Kukiwa...
  5. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ufaulu duni wa masomo ya Mathematics na Physics bado halijaeleweka!

    ...
  6. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  7. Candela

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji bado tatizo la milenia, tusubiri miaka 1000 watakuwa na ufanisi

    Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Aliefanikiwa kutatua tatizo la wadudu walambao darini anisaidie

    Nimesoma thread kutoka 2016 ila zote sijapata jibu kwakua baadhi ya michango imekataliwa kua haifanyi kazi, Naomba kama mtu alifanikiwa kuondoa hawa wadudu wala mbao ambazo tayari zimeshapigwa kwenye kenchi anisaidie . Shukran
  9. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Simba na tatizo la namba 10

    Binafsi naona tatizo kubwa la simba lipo katika no 10 mtu ambaye atasimama nyuma ya striker,ambaye atamlisha stricker,mwenye uwezo wa kupiga penetration pass,kupunguza wachezaji wa timu pinzani,na hata kufunga ikibidi Ukiangalia simba kwa sasa jukumu hilo kapewa saidoo ambaye kimsingi ni...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar hawakuwa na tatizo na Utawala wa Sultan

    Ni wabara tu waliwafitinisha hasa huyo jamaa mbabe John Okello. Yeye alikuwa na kiherehere zaidi cha kuwakimbiza waarabu Zanzibar. Lakini wenyeji ukiongea nao wanasema wala hakukua na shida yoyote ile na walitamani watawala waendelee kuwepo maana walikuwa wanawapatia hadi tende bure kabisa...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Tanzania: Tatizo ni Serikali au wananchi?

    1. Ukifanya kazi kwenye baadhi ya taasisi nyeti za umma kama TRA, Bandari, Polisi hasa TRAFFIC, n.k., usipoonekana unapata mafanikio ya harakaharaka, utaitwa mjinga usiyejua "kuchukua " hela zilizo nje nje 2. Kwa sasa ukienda kwenye baadhi ya maduka yanayotoa risiti ya EFD, ukitaka risiti...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa nafasi za watendaji zipatikane kwa ushindani

    Huu ndo ukweli! Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani. Ni wakati sasa nafasi za watendaji zikapatikana kwa njia ya ushindani watu waombe wapimwe kutokana na uwezo wao wa kiakili na utendaji na sio...
  13. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hili tatizo la thread zangu Mpya ninazopost lipo kwangu tu au Mimi ndo sijui namna ya kuview my post status.

    Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
  14. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Necta mnachelewesha majibu ya darasa la 4 na form two. Tatizo nini?

    Tarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi? Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele. Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe aliwahi kugusia tatizo la nidhanmu ya Kelvin John huko Ulaya, sijashngaa kocha wa Taifa kumlalamikia, Kelvin abadilike lasivyo atapotea

    Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akimuasa Kelvib John abadilike kinidhamu, hatuwezi kujua aba utovu upi lakuni...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba tunarudia makosa tena yale yale. Tatizo liko hapa

    Wazee Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana .. Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi mbalimbali. Angalau basi hata hao wachezaji wawe wamoto sana ila ndiyo vile ndugu mangungu amekuwa ni...
  17. andremg10

    JamiiForums Tanzania Tatizo la unit za Luku kuisha kwa haraka

    Hili jambo limekaaje? Kuna wengine wanapata shida hii?
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kuna mama ntilie anauza chakula kizuri. Tatizo liko kwa mwanae, wateja tunapungua

    Yaani anapika msosi mtamu sana kana kwamba anaupika akiwa uchi. Tatizo ukienda kwenye mgahawa wake kula chakula, unapakuliwa msosi vizuri tu, tatizo linaanzia kwa mwanae mwenye furushi la makamasi ya njano puani na kitambi kikubwa sana ilihali ni 5 yrs only Ukiwa unasonsomola msosi, kale katoto...
  19. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  20. kali linux

    JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la mtandao kukata kabisa la voda nalipata mimi pekee au ni kote?

    Toka mwezi uliopita na hadi huu nimekua napata tatizo la mtandao wa voda upande wa inteneti kukata kabisa au kuwa na low speed siku nzima. 4g ya voda inazidiwa na 3g ya halotel. Je hili tatizo ni kwangu binafsi? Ama na wengine mnalipata? Nauliza hivo sababu nilishwai piga simu huduma kwa wateja...
Back
Top Bottom