Nafikiri tatizo la Chid Benz linaanzia kwa mama yake pia

Right eye

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
716
1,208
Wasalaam.

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara.

Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida.

Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu kwa kipindi hichi cha karibu coz watu muhimu wanaomzunguka hasa mama yake hana imani kama Chid analo tatizo.
 
Wasalaam.

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama ake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Siajara.

Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubari kama mwanae ana shida yani hana Imani kabisa kwamba Chid anashida.

Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu kwa kipindi hichi cha karibu coz watu muhimu wanao mzunguka hasa mama ake hana imani kama Chid analo tatizo.
Lini umeona Mama akakubali mtoto wake ana shida mbele ya hadhara?

Hakuna mama atakayekubali kumfedhehesha mwanaye hata kama moyoni anajua anastahili fedheha hiyo...
Hakuna mama atakayekubali mwanaye aumie kwa sababu ya maneno aliyoyatoa yeye...

So Anaweza akawa yeye anamshauri sana Kuhusu Tabia zake ila hawezi kuweka hadharani...
 
Nimeangalia hiyo Interview Clouds. Nimegundua Mama Chidi ( Hawa) She is very Brilliantly.. mtangazaji alitaka kumtumia Mama ili aoneshe Mapungufu mengi ya Mtoto wake.. Mama anasisitiza Tatizo lipo ila sio lazima ku expose Publically.. ndicho Mama anasisitiza.. na amekua Mjanja sana kujibu maswali.. Hata mtangazaji alikua anakosea sana kutaka kuweka vitu Vingi Publically!!
Wamama hupenda Kuvaa viatu vya Watoto wao..
 
Hapo ndo jamii ione namna ilivyo ujinga kuajiri influencers badala ya wanahabari wenye taaluma
 
Lini umeona Mama akakubali mtoto wake ana shida mbele ya hadhara?

Hakuna mama atakayekubali kumfedhehesha mwanaye hata kama moyoni anajua anastahili fedheha hiyo...
Hakuna mama atakayekubali mwanaye aumie kwa sababu ya maneno aliyoyatoa yeye...

So Anaweza akawa yeye anamshauri sana Kuhusu Tabia zake ila hawezi kuweka hadharani...
Vipi mama Wema
 
Kila tatizo au jaribu, huwa jepesi sana kwa yule ambaye tatizo ama jaribu hilo halimuhusu. Huyu mama unaweza kuta kifua chake ni kizito sana, kama walivyo mama zetu.

Media za Bongo zinakugeuza content, zinapiga hela unapewa laki mbili kama asante.

Ujinga mwingi sana.
 
Lini umeona Mama akakubali mtoto wake ana shida mbele ya hadhara?

Hakuna mama atakayekubali kumfedhehesha mwanaye hata kama moyoni anajua anastahili fedheha hiyo...
Hakuna mama atakayekubali mwanaye aumie kwa sababu ya maneno aliyoyatoa yeye...

So Anaweza akawa yeye anamshauri sana Kuhusu Tabia zake ila hawezi kuweka hadharani...
Ila mama yake Wema aliweza...sio kwa kumchamba kule mwanae
 
Back
Top Bottom