Kiukweli hiki wanachoita eti ni tatizo la afya ya akili hakipo. Ni dhana tu au failure of thinking deeply

Mkungunero

JF-Expert Member
Aug 13, 2023
408
568
Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo.
1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na kuongea peke yake barabarani je ni tatizo la afya ya akili au tatizo la ukosrlefu wa ajira.

2. Unakuta mtu alikuwa na mke/mme na anampenda sana ghafla anaachwa katika mazingira ya kutatanisha. Sasa je huyu mtu akijidhiru mtasema ana matatizo ya afya ya akili au ni Hali halisi.

3. Unakuta una pesa bank kama billion 1 kwenye account yako ghafla unaenda withdral bank unakuta account wameifleeze kama kipindi Cha jpm wakati rais siyo mahakama je ukijiia au ukachizi litakuwa tatizo la afya ya akili au Hali halisi tu. Kipindi Cha jpm watu wamekufa wengi kwa pressure kwa account zao kuwa fleezed mf Nimrod mkono.

4. Una mama au baba halafu unaambiwa amefariki na ulikuwa unapenda sana je kwa wakati ule ukichanganyikiwa na kulia ni tatizo la afya akili au Hali halisi.

Conclusion. Hakuna kitu kinachoitwa tatizo la afya ya akili Bali ni usanii tu wa wajanja kuwaibia hela watu kwa kuwatisha kama wale wachungaji wanaowatisha waumini eti watachimwa na moto usiozimika wakati ki ukweli huo moto haupo na mungu mwenyewe hayupo na Pepo haipo.
 
Yaani Mungu hayupo ila tunaamini Mchawi anaweza kumchukua mtu na watu wakaenda kuzika mgomba !!!
Kisha pia tunaamini huyo aliyechukuliwa kichawi ataendelea kuishi na kutumikishwa kazi kwenye dunia nyingine ya giza ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ !!

Kama binadamu mchawi anaweza kumchukua mtu na asionekane na amfanye anavyotaka kama wengi tunavyoamini je huyo aliyemuumba huyo mtu mchawi anaweza kushindwa kufanya kitu gani ??!!
 
Wewe shukuru Mungu kwamba huna ndugu au mtu wa karibu anayeugua ugonjwa wa akili.
Ungekuwa unaye mtu huyo karibu, basi wala usingeandika mada kama hii.
 
Yaani Mungu hayupo ila tunaamini Mchawi anaweza kumchukua mtu na watu wakaenda kuzika mgomba !!!
Kisha pia tunaamini huyo aliyechukuliwa kichawi ataendelea kuishi na kutumikishwa kazi kwenye dunia nyingine ya giza ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ !!

Kama binadamu mchawi anaweza kumchukua mtu na asionekane na amfanye anavyotaka kama wengi tunavyoamini je huyo aliyemuumba huyo mtu mchawi anaweza kushindwa kufanya kitu gani ??!!
Nature of living things, birth and die or juvenile to old and finally peish ether the natural death or artificial death ( uchawi). Hii Dunia ni survival o the fittest ndugu na wewe ukimuwahi adui yako ua kabla yeye hajakuua.
 
Duh ๐Ÿ™„ ! Mimi nilikuwa nadhani survival of the fittest ni kwa animals tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom