Laptop yangu ina shida ya internet

Extrovert24

Senior Member
Jun 23, 2022
107
124
Wakuu habari zenu, natumainia kuwa mko vizuri na wenye afya dhoofu Mwenyezimungu awafanyie wepesi pia.

Moja kwa moja, Pc yangu ina shida ya internet yani haiwezi ku-connect wireless internet labda nitumie Ethernet, na sababu kuu inaniambia ya kuwa cellular radio iko off.

Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kutatua changamoto hii anisaidie.

Naomba kuwasilisha Wakuu
 
Ingia kwenye device manager Kisha tafuta network sikumbuki jina vizuri alafu right click Kisha uninstall
 
Kwa hiyo wifi ipo ukiirafuta sema kwenye simu unaiona.

Ukifungua sehemu ya wifi kwenye pc ile iliyo karibu na saa inasemaje? Unaona wifi networks?
Hakikisha mashine yako haina physical switch ya Wifi ambayo iko off.

Nenda start menu andika Device Manager fungua angalia sehemu ya Network adapters kuna error yoyote? Wireless ipo kwenye list? Hakikisha ipo enabled/right click.

Yote hayo yakishindikana right click wirelss dapter uninstall kisha restart machine.
 
Pia sidhani kama cellular radio off ni error ya Windows weka error kamili unayopata.
 
Kwa hiyo wifi ipo ukiirafuta sema kwenye simu unaiona.

Ukifungua sehemu ya wifi kwenye pc ile iliyo karibu na saa inasemaje? Unaona wifi networks?
Hakikisha mashine yako haina physical switch ya Wifi ambayo iko off.

Nenda start menu andika Device Manager fungua angalia sehemu ya Network adapters kuna error yoyote? Wireless ipo kwenye list? Hakikisha ipo enabled/right click.

Yote hayo yakishindikana right click wirelss dapter uninstall kisha restart machine.
Pale kwenye Wifi inaonyesha kimkasi chekundu, pia hata ukiiwasha bado haiwaki na inasema wireless capability iko off lakini nimefanya hayo yote ya network adapter kwenye device manager na zinaonyesha kuwa hazina shida kwenye status zake. Sasa ndo nashindwa kuelewa shida ilipo. Ila kuna kaniambia nibadilishe Disc
 
Kwa hiyo wifi ipo ukiirafuta sema kwenye simu unaiona.

Ukifungua sehemu ya wifi kwenye pc ile iliyo karibu na saa inasemaje? Unaona wifi networks?
Hakikisha mashine yako haina physical switch ya Wifi ambayo iko off.

Nenda start menu andika Device Manager fungua angalia sehemu ya Network adapters kuna error yoyote? Wireless ipo kwenye list? Hakikisha ipo enabled/right click.

Yote hayo yakishindikana right click wirelss dapter uninstall kisha restart machine.
Lakini pia nimejaribu kutroubleshoot wananiambia niangalie wireless capability iko off, Pia Broadband subscription iko Inactive au ime expire
 
Disk inahusu nini na wifi? Achana na hao.

Kwanza tuelewe wifi unayo kwenye hilo eneo? Yaani kuna vyombo vingine vinaunga wifi bila shida?

Zaidi ya hapo labda uanze kuweka screenshot humu tukuelewe vizuri maana unaleta taarifa nusu nusu kidogo.
 
Sawa basi ngoja nipige picha niziweke
 
Back
Top Bottom