Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

Gotze Giyani

Senior Member
Feb 28, 2022
122
181
Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa,

Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada.

Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau wasomi wengi wa Tanzania na kuona kama wamepoteza muda kwenye elimu.

Mfano nimesikia kiongozi mmoja mkubwa anasema kama unasoma ujui utafanya wapi kazi ni kupoteza muda tu, mwingine tena akasema kufaulu darasani tu hakukufanyi upate kazi na wengine wamepandisha nauli kiolela na kusema walichukua maoni ya wadau kumbuka hao ni viongozi hivi uwa wanatuchukuliaje watanzani.

Mbaya zaidi na mwingine kasema hizi mvua zinazonyesha nyingi maji hayaingia kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme na aliyesema hichi ni msomi na kiongozi maoni yangu nini kifanyike ili watanzania tuache kuburuzwa na hawa watu japo kuna na wasomi ila nao wanakuwa ovyo.
 
Wadau habarini za jioni poleni na jukumu la kujenga taifa ndio tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tuu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada.Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau wasomi wengi wa Tanzania na kuona kama wamepoteza muda kwenye elimu.mfano nimesikia kiongozi mmoja mkubwa anasema kama unasoma ujui utafanya wapi kazi ni kupoteza muda tuu,mwingine tena akasema kufaulu darasani tuu hakukufanyi upate kazi na wengine wamepandisha nauli kiolela na kusema walichukua maoni ya wadau kumbuka hao ni viongozi hivi uwa wanatuchukuliaje watanzani.Mbaya zaidi na mwingine kasema hizi mvua zinazonyesha nyingi maji hayaingia kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme na aliyesema hichi ni msomi na kiongozi maoni yangu nini kifanyike ili watanzania tuache kuburuzwa na hawa watu japo kuna na wasomi ila nao wanakuwa ovyoo.
Hao viongozi ni zao la Ccm
 
Tatizo ni Njaa...

Wasomi wengi wana njaa...

Wanageuzwa chawa sababu ni Njaa...

Wanachagua viongozi wasiotaka sababu ni Njaa...
Hivi kweli mvua inyeshe tena kubwa sana halafu maji yasiingie bwawani na wakati mvua imenyesha eneo hilo hilo tena kubwa mbona kama wanatuona kama hatuna ubongo mbaya zaidi wanashinda uchaguzi hata wewe tafakari ?
 
IMG_4147.jpg
 
Wadau habarini za jioni poleni na jukumu la kujenga taifa ndio tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tuu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada.Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau wasomi wengi wa Tanzania na kuona kama wamepoteza muda kwenye elimu.mfano nimesikia kiongozi mmoja mkubwa anasema kama unasoma ujui utafanya wapi kazi ni kupoteza muda tuu,mwingine tena akasema kufaulu darasani tuu hakukufanyi upate kazi na wengine wamepandisha nauli kiolela na kusema walichukua maoni ya wadau kumbuka hao ni viongozi hivi uwa wanatuchukuliaje watanzani.Mbaya zaidi na mwingine kasema hizi mvua zinazonyesha nyingi maji hayaingia kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme na aliyesema hichi ni msomi na kiongozi maoni yangu nini kifanyike ili watanzania tuache kuburuzwa na hawa watu japo kuna na wasomi ila nao wanakuwa ovyoo.
Tunatakiwa tunapate mtu kama Magufuli maujinga kama hayo hutayasikia. Saivi watu wamevimbiwa na hela za wizi wa kodi zetu wanaweza kusema lolote na usiwafanye lolote serikali iko mfukoni mwao
 
Tatizo watanzania ni vigeugeu hawajui wanachotaka...

Bado ni bendera fata upepo...
Jibu ni moja
Njaa kama ulivyosema hapo juu.

Mtu yupo tayari kudhalilisha taaluma au kusimamia haki kwasababu ya njaa.

Ndio maana wanasema kupata haki ya kweli kuna mateso na magumu mengi inabidi mtu upitie

Swali ni kwamba je una uvumilivu huo?

Hapo ndio wengi hushindwa na kuuza utu wao.
 
Mngekuwa na wasomi mngewapeleka nje kufanya kazi nadala yake saizi yenu ni wafanyakazi wa ndani tu

Hujamsikia NW anaongelea ajali ya bus kugonga Train eti anamuelekeza mkuu wa police kuongeza Doria barabarani kudhibiti speed, hawa ndio aina ya viongozi

Unapita maili kadhaa huoni hata sign kuonyesha kuna kona mbele au kuna reli baada ya maili moja ili dereva ajiangalie
Yaani barabara hazina signpost kwa hiyo mtu aendeshe kwa kukisia
Halafu mnashindwa kudhibiti ajali kwa kutokujua sababu za ajali
Mwingine anafananisha aliefia police na aliefia hospital seriously?
Hivi amewaza hapo au karopoka tu kwa elimu zetu?
Tatizo woga au kutokufikiri mbona simple sana ni kutoa amri tu kila maiti ifanyiwe uchunguzi hata kama imefia wapi

Elimu yetu ni kukariri ndio maana huoni wanapewa ajira nje
Wapo ila ni % ndogo sana na hao wanachukiwa na viongozi mpaka kutimuliwa
 
Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa,

Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada.

Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau wasomi wengi wa Tanzania na kuona kama wamepoteza muda kwenye elimu.

Mfano nimesikia kiongozi mmoja mkubwa anasema kama unasoma ujui utafanya wapi kazi ni kupoteza muda tu, mwingine tena akasema kufaulu darasani tu hakukufanyi upate kazi na wengine wamepandisha nauli kiolela na kusema walichukua maoni ya wadau kumbuka hao ni viongozi hivi uwa wanatuchukuliaje watanzani.

Mbaya zaidi na mwingine kasema hizi mvua zinazonyesha nyingi maji hayaingia kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme na aliyesema hichi ni msomi na kiongozi maoni yangu nini kifanyike ili watanzania tuache kuburuzwa na hawa watu japo kuna na wasomi ila nao wanakuwa ovyo.
"The problem of Africans, those with ideas have no power, and those with power have no ideas."
 
Mfano nimesikia kiongozi mmoja mkubwa anasema kama unasoma ujui utafanya wapi kazi ni kupoteza muda tu, mwingine tena akasema kufaulu darasani tu hakukufanyi upate kazi na wengine wamepandisha nauli kiolela na kusema walichukua maoni ya wadau kumbuka hao ni viongozi hivi uwa wanatuchukuliaje watanzani.

Mbaya zaidi na mwingine kasema hizi mvua zinazonyesha nyingi maji hayaingia kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme na aliyesema hichi ni msomi na kiongozi maoni yangu nini kifanyike ili watanzania tuache kuburuzwa na hawa watu japo kuna na wasomi ila nao wanakuwa ovyo.
Tatizo ni kuwekana chamani kwasababu ya kelele za majukwaani kutetea ujinga
  1. Mtama
  2. Msoga
  3. Bumbuli
 
Back
Top Bottom