tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

    Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi. Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza hasa napofika mshindo nikiangalia mbegu zangu huwa nyingi zinatoka nje y 'K hivi nauliza ni jambo la...
  2. F

    Website ya UDSM mbona haiko User friendly? Tatizo nini?

    Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa, sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa! Website imekaa ki- utumbo utumbo tu! Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf. Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!
  3. DR Mambo Jambo

    Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

    Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo. Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi. Wananchi walitaka maboresho ya...
  4. Mtu fulani

    Msaada kwa tatizo la afya ya ubongo

    Amani iwe kwenu, Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa. Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi...
  5. S

    Umeme Si Tatizo Tena Ni Usugu ulio Pitiliza

    Takribani miezi sasa tunasika tatizo la umeme ama mgao au upungufu Kwa neno jingine, sasa tunaomba kujua Hilo tatizo limebadikika maana mfano Mwanza wilay nyamagana hususani nyegezi hili eneo la stendi ni takribani wiki ya pili sasa umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurejeshwa jioni Sana...
  6. L

    Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  7. Protector

    Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  8. K

    Huruma kwa wala rushwa ndiyo tatizo namba moja!

    Naona sasa hili tatizo la kuwaonea huruma wala rushwa hata serikali imeanza kuliona 1. Badala kuwafukuza viongozi wanaofuja wamekuwa wakihamishwa 2. Rushwa kama hizi za Polisi barabarani kuonekana sio rushwa! 3. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi 4. Madaktari na manesi kushinda...
  9. GENTAMYCINE

    Je, tatizo Kuu la Kizazi cha Kupambana Kimaendeleo, Kujinyima na Kivumilivu haliwezi kuanzia huu Utafiti wangu Binafsi?

    95% ya Watoto wa Kitanzania hasa waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi leo (sasa) wanapenda zaidi Kula Ubwabwa (Wali) na Kuuchukia kabisa Ugali (GENTAMYCINE ninaoupenda) uliotukuza Kaka na Dada zao Geniuses tuliozaliwa kuanzia 1989 kurudi nyuma. Wazazi wa sasa nawashaurini kwa nia njema tu...
  10. BigTall

    KERO Responded Foleni ya kuweka gesi Dar kwenye magari ni tatizo

    Mchangamoto tunaopitia wakati wa kujaza gesi kwenye magari ni kero kubwa ya foleni inayotokana na wingi wa wenye uhitaji huku sehemu za kujazia zikiwa chache. Hicho ni kikwazo kikubwa pia kwa madereva hasa wale ndugu zangu wa Taksi Mtandao kwa kuwa wanatumia muda mwingi kwenye foleni ya gesi...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Wanawake wa hivi tatizo huwa ni nini au wanasaidiwaje? Mimi yamenikuta

    Mwanamke ana kifua kizuri lakini hana chuchu.... yaani ni kama zimeingia kwa ndani. Mmoja alishawahi kuzaa sielewi sasa why awe hivyo. Mwingine hajawahi zaa. Ana kifua kimesimama na kujaa vyema. Ila chuchu hazijajitokeza. Inanikata stim kiukweli.
  12. M

    Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji?

    Mimi nikiwa kama mpenzi na shabiki wa Simba sports club sifurahishwi na mwenendo wa timu pamoja na matokeo mazuri ya uwanjani. Timu haiko vizuri hatuna beki ukuta unavujisha na upande wa ushambuliaji ni butu. Wapenzi wa mpira wa miguu karibuni nanyi mseme chochote maana mwenzenu nina wasiwasi...
  13. ChoiceVariable

    Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  14. Abdclassic

    Msaada: PC yangu inasumbua

    Kuna issue inanisumbua sana, nimebadili Window bado, nimebadili PC bado. Nahisi kuna program ndo chanzo.
  15. Victor Mlaki

    Ukichaa wa akili ya mwanadamu tatizo kubwa Duniani

    Hakuna kipindi ambacho jamii yetu inahitaji elimu ya kujifahamu "consciousness education"kama sasa. Tunapita kwenye kipindi chenye upotofu mwingi juu ya "mtu ni nani " kuliko kipindi chochote kile. Taasisi za misingi ya jamii kama familia, shule na maeneo ya ibada leo kwa kiasi kikubwa...
  16. Erythrocyte

    Serikali haina Msemaji kwa siku kadhaa sasa na hakuna Tatizo , kwanini cheo hiki kisiunganishwe na Waziri wa Habari ?

    Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali . Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
  17. M

    Hivi kuna matatizo gani yaliyofanyika na kutokea wakati Jakaya Kikwete yupo madarakani yanashabihiana na haya yanayoendea sasa nchini?

    Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu. Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu. Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika. Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
  18. R

    Tatizo na wateule, washauri au wateuaji?

    Tatizo la kubadilishwa vituo na kurejeshwa kwenye madaraka kwa wateuliwa ni kukosekana na kwa makatibu wakuu aina ya akina Segue, Opio na Luanjo au nimteuaji kukosa muda wakukaa na katibu mkuu kiongozi kupanga safu? Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji? Kwanini...
  19. Travis Kitengo

    Bado nawaza na kujiuliza Sakata la Bandari. Tatizo ni urefu wa mkataba, terms and conditions zilizomo au tatizo ni kuvuja kwa mkataba?

    Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini? Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia...
  20. Mwl Athumani Ramadhani

    Tatizo sio uhaba wa umeme nchini. Tatizo kuu ni mazoea tuliyojijengea

    Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe! Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!? HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
Back
Top Bottom