tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka Hadhi ya Tanzania kwenye Diplomasia ya Kimataifa: Awamu ya 5 Imetuangusha

    Haya matukio yanaonyesha kuporomoka kwa hadhi ya Ki-diplomasia kwa Tanzania. 1. Tanzania imekaa bila Balozi kamili wa USA kuanzia Oktoba 2016 alipoondoka Mark Bradley hadi Novemba 2019 alipoteuliwa Dr Don Wright. Kwa miaka 3 tulikuwa unafanya kazi na Inmi Patterson ambaye kicheo ni Charge...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kama Kutoa mimba ni kosa nchini Tanzania basi Wema Sepetu akamatwe

    Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo) Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Sasa Bangi kuwa zao rasmi la biashara Tanzania

    Spika aongoza wabunge kuunga mkono. Mabeberu wanahitaji zaidi hili zao,hasa CANADA. Uganda wapewa USD500M kutoka EU kuendeleza zao la bangi. Angalizo. Tusiwaamini sana mabeberu kwa uhitaji wa hili zao la bangi. Kama vp walime wao maana wanayo ardhi. Siku wakigoma kuinunua bangi na kauli za...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) waridhia kuipa Tanzania msaada wa Bilioni 132 uliokuwa umezuiwa

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubali kuruhusu kutoa Sh132 bilioni kwa ajili ya kuchangia bajeti ya maendeleo ulizokuwa umezizuia. Uamuzi huo ulitangazwa jana baada ya Rais John Magufuli kufanya mazungumzo na balozi wa EU nchini, Manfred Fanti Ikuku jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na...
  5. Lancashire

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora. Karibuni kwa maoni yenu. ====
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Sheria Tanzania: Ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuwe na utengamano wa kisheria na mfumo wa haki unaheshimiwa

    Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rugemeleza Nshala amesema ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuhakikisha kuna utengamano wa kisheria na mfumo wa haki unaheshimiwa. Nshala ameyasema hayo leo Alhamisi Februari 6, 2020 katika maadhimisho ya siku ya...
  7. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia DR MARA MARWICK aihakikishikia Tanzania ushirikiano mwema kwenye masuala ya Maendeleo

    PROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA. Dar es Salaam, 5 Februari 2020 Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Tanzania, Bi. Mara Marwick ameihakikishia Serikali ya Tanzania ushirikiano katika sekta mbalimbali ili kufikia maendeleo...
  8. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajui kuwa sasa hivi Afrika na Tanzania ni dodo, siyo kama zamani!

    Ndo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka...
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 Tanzania tutaadhimisha miaka 60 ya ujinga, maradhi na umasikini chini ya CCM

    Mwaka ujao, 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya uhuru toka Waingereza walipoamua kutupatia Uhuru wetu wenyewe. Mwaka 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya umasikini, ujinga na maradhi, kwa miaka yote hizo Tanzania ikiongozwa na chama cha mapinduzi. Ni ukweli ulio wazi kua hata ccm...
  10. chagonjam

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa sahihi kuibana Acacia

    Imeelezwa kuwa Tanzania ilikuwa sahihi kuwa na bifu na kampuni ya Acacia Minining ambayo haikutimiza wajibu wake ipasavyo. ====== TANZANIA “had a legitimate beef” in its dispute with Barrick Gold subsidiary Acacia Mining and the solution now reached “… would make Africa a very different place...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo. Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
  12. OLS

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya benki ya Dunia kuhusu mazingira ya biashara nchini Tanzania

    Katika Makala haya tuifananishe nchi yetu na majirani zetu kwenye upatikanaji wa ajira na ukuzaji wa uchumi. Viko vitu vingi vya kuzunguza lakini kwa taarifa iliyopo naweza zungumzia upatikanaji wa nishati, hatua za kuanzisha biashara na upatikanaji wa mikopo. Pia niweke nen kwenye masharti ya...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ndugai na Magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya Taifa letu

    Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu. Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu. Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele. Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Mjadala namna gani tunaweza kuboresha ligi kuu Tanzania Bara( Vodacom Premium league)

    Tuweke pembeni Usimba na Uyanga na tutoe mawazo ili ligi yetu iweze kuwa ligi bora na sio Bora ligi. Mana kumekuwa na malalamiko Mengi katika ligi kuu Tanzania Bara, na Mengi yanatoka kwa mashabiki wa Simba na Yanga huku katika ligi kukiwa na timu zaidi ya Simba na Yanga, Je unafikiri mambo gani...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 To All Embassies in Tanzania

    Dear ambassadors who represent their countries in Tanzania. We humbly request you to employ people who will follow what is being posted on jamiiforums. Jamiiforums is the only trusted source in Tanzania because of the way it operates. Other sources fear the government musscels and...
  16. alexanderhist

    JamiiForums Tanzania A question about possible remote folklore memories of Masudi's "Zanj Empire" in present Tanzania

    A question about possible remote folklore memories of Masudi's "Zanj empire" in present Tanzania. Dear forum visitors and participants! First of all please excuse me for using English - I'm not Swahili-speaker; I add below a Swahili translation of this post but I apologize for inebitable...
  17. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya ili kuhakikisha sekta ya mawasiliano ya simu Tanzania inaendelea kukua na kustawi

    Tanzania imepata mabadiliko makubwa ya teknolojia katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Leo hii, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 11 wanaotumia mtandao wa intaneti kupitia simu zao za mkononi. Maendeleo haya ni fursa ya kubadili maisha na kukuza maendeleo ya mtu mmoja mmoja na nchi kwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

    Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka. Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Advocacy Officer at Tanzania Education Network

    Specific duties and responsibilities include Provide Support to development programs; identify and implement policy advocacy initiatives at local level. Ensure that local-level policy initiatives in which TEN/MET members engage are informed by micro-level work and support achievement of SD4 &5...
  20. Lyamber

    JamiiForums Tanzania Yafahamu magari ya bei nafuu unayoweza kununua Tanzania

    Kwa utafiti usio rasmi kwa mtazamo wangu baada ya kupita pita kwenye magroup ya Whatsapp na Kurasa za facebook za wauza magari yaliyotumika hapa Tanzania ni kama yafuatayo: Toyota Vitz, IST, Raum, Passo, Run X Mark II, Grande,Altezza Cresta, Brevis, Nissan X - Trail haya bei zake huanzia...
Back
Top Bottom