The Message; Ministry of Natural Resources & Tourism

Dominic Myumbilwa

Senior Member
Jan 5, 2017
190
93
By: Eric Allard

I’ve been in Tanzania for 30 years now and i'm proud of where this nation is at when compared to what it was when I first arrived. It was a good decision to move here then and I’ve experienced the country’s economic and infrastructure growth over the 30 years. I’ve also run my businesses in what were challenging conditions but they have done well. All in all it has been a positive experience.

Over the past 30 years, I’ve welcomed many friends and always promoted Tanzania as a destination to be visited. During my time in Tanzania, I traveled extensively around Southern Africa (and other parts of the world) and seen how other African countries have developed over the same time period.

Having just come back from a road trip across Tanzania, Zambia, Botswana, part of South Africa, and Namibia, all places I’ve visited multiple times since 2001, now, for the first time in 30 years I find myself in a difficult situation when trying to answer questions raised by friends wanting to travel to Tanzania. If I’m being objective I find it difficult to promote Tanzania like I did in the past.

The beauty of Tanzania has not worsened in 30 years. If anything it has improved, or been better exposed to the world. But for a foreigner, the cost of traveling within the country have become exorbitantly - or even prohibitively - high. Yesterday I replied to a person wanting to visit Ngoro Ngoro and the Serengeti. When adding up the costs I found it would cost each person approximately USD 130 per night in government fees to stay overnight in the Serengeti. To drive into the crater it would cost some USD 295 per vehicle and USD 72 per person....so imagine the cost of a family of four having two teenage children aged 16 or more, that would pay adult prices!

I then told the person to consider rather traveling to Namibia, where a visit to Etosha National Park, an iconic park in its own right and Africa’s third biggest, where a family of 4 having two teenage children would pay USD 5.5 per person in government fees. In Tanzania, it would cost them USD 520 per night in government fees for the Serengeti and Namibia would comparatively cost them USD 22.....does anyone ask themselves if it is ethical to have to pay USD 130 per person to visit a world heritage site - which is a special place that should be able to be accessed by all peoples and not just the rich - like the Serengeti? The Serengeti is not a privately owned theme park like Disney Land, it is public space....shouldn’t it be priced in such a way to allow all people to see it? After all the Tanzanian government is only the curator of this amazing world heritage site. The Namibians seem to understand that. In most countries, as a foreigner you pay the same price as a citizen. Travel to Yellowstone National Park in the USA for example, a Tanzanian would pay the same price as an American.

Furthermore, you try to fly some internal flights in Tanzania and they have a ‘resident’ and ‘foreigner’ price. The difference in price between the two is huge. Why is this? Nowhere else in the world do you have such disparities between prices for citizens and tourists. Why is there such a mentality of ‘economic racism’ in Tanzania? I ask you, how do I recommend Tanzania to others?
 
Sure, charges zetu zinafukuza watalii na wawekezaji. Mfano ili investor aje awekeze kwenye kilimo na iwapo atahitaji kuja na wataalam wake watatakiwa kulipa usd 2050 kama work permit per contract na usd 1000 kama residence permit per worker. Kwa hiyo mtaalamu mmoja atatakiwa kulipa usd 3050 ili akafanye kazi za kitaalam na usimamizi wa shamba. Hii ni tofauti sana kwa nchi nyingi. Mathalani Ethiopia wanachaji usd 50 kama work permit kwa foreigner. Kwa viwango hivi wawekezaji wengi wamejitokeza kwenye secta ya kilimo, ufugaji nk. Investors ni watu muhimu kwa maendeleo ya nchi. Tunahitaji kufanya utafiti wa kutosha na kuweka mazingira ya kuvutia wawekezaji ili wawekeze nchini mwetu.

Ni muhimu kuweka mazingira ya uwiano mkubwa wa wafanyakazi wenyeji dhidi ya wageni, lakini tuweke vivutio na hamasa kwa wawekezaji katika sekta mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikuwa napitia tarifa ya moroco kuwa kwa mwa Jana wametembelewa na watalii million 11 mwaka 2019 na hawana mbuga ya wanyama.

Katika moja ya comments za hiyo taarifa nimeona wazi wazi watu wakiitaja Tanzania kuwa ni moja ya nchi zenye gharama kubwa ya utalii.

Bahati mbaya nchi za dunia ya tatu na ikiwemo Tanzania watu wenye akili hawana nafasi za kimaamuzi halafu wale akili finyu ndio wako kwenye maamuzi. Mimi Niko kwenye hii sector nashindwa hata nianzie wapi kueleza wapi serikali inakosea.

Ila naiomba serikali kila uamuzi inaofanya kwenye suala la utalii wajue sio Tanzania pekee yenye mbuga za wanyama, milima au beaches za kutalii. Wafanye maamuzi yenye fair competition in comparison na mataifa mengine na sio kufanya mambo Kama Ni Tanzania tu yenye vivutio vya utalii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa aisee waangalie hili sio siri

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache kushabikia kila kitu kisa tu ameandika kwa Kiingireza, kwanza kaandika uongo kuwa tuna Ubaguzi wa Kiuchumi ambao hajawahi kuuona popote. Hivi leo Mimi Mtanzania Mzawa nilipie Ada ya kusoma UDSM sawa na Msweden ambaye hajatolea jasho uwekezaji huo wa UDSM.
Leo Muisrael alipe kiingilio sawasawa na Mmasai kuingia Ngorongoro??
Ooh Moroco wamepata Watalii Milioni 11 Tanzania tumepata Mil 6. Ukubwa wa Pua siyo wingi wa Kamasi, tunahitaji Watalii wenye hadhi zao akina Abramovic Et Al hao makwasukwasu waende huko Rwanda na Namibia unakowashauri kwenda.
Watalii pia wanajua kuja Tanzania ni Classic na kuna watu wa dizain yake siyo kila mtu aje tuu na njaa njaaa zake.
Mtuache tukuze Utaliii wa Ndani kwanza hizo kelele zenu punguzeni Sauti.
 
Pole sana
 
Mimi nikiacha habarai za kutangaza Tanzania.

Mazi gira ya sasa ya Tanzania mtu anaweza kupotezwa na wasiojulikana ikawa msiba.

Hata likizo tutaenda Turks and Caicos tu mpaka upepo upite huu labda.

Serikali ya Tanzania ina ulafi sana wa kodi. Hilo si siri.

Kiasi kwamba hata kama ingeweza kuongeza mapato kwa kushusha kodi, haifanyi hivyo.

Ni kama vile wapanga kodi hawajawahi kusikia kitu kinaitwa Arthur Laffer's Curve!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nitafute kwanza ukweli wa hili jambo,ila kama Namibia wanacharge kiasi hicho approximately elf 15 kwa foreigner ni hasara kulingana na gharama za utunzaji wake wa hizo natural resources
 
Leo nilikuwa napitia tarifa ya moroco kuwa kwa mwa Jana wametembelewa na watalii million 11 mwaka 2019 na hawana mbuga ya wanyama.

Katika moja ya comments za hiyo taarifa nimeona wazi wazi watu wakiitaja Tanzania kuwa ni moja ya nchi zenye gharama kubwa ya utalii.

Bahati mbaya nchi za dunia ya tatu na ikiwemo Tanzania watu wenye akili hawana nafasi za kimaamuzi halafu wale akili finyu ndio wako kwenye maamuzi. Mimi Niko kwenye hii sector nashindwa hata nianzie wapi kueleza wapi serikali inakosea.

Ila naiomba serikali kila uamuzi inaofanya kwenye suala la utalii wajue sio Tanzania pekee yenye mbuga za wanyama, milima au beaches za kutalii. Wafanye maamuzi yenye fair competition in comparison na mataifa mengine na sio kufanya mambo Kama Ni Tanzania tu yenye vivutio vya utalii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya nadhani hawana kodi nyingi kny utalii vipi wamewazidi Morocco?

God save us
 
Back
Top Bottom