Ndugai na Magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya Taifa letu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,379
30,829
Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.

Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu.

Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele.

Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji la miba.

Tunamshukuru Mungu kwa yote pengine aliwaleta makusudi ili vizazi vijavyo vitambue umuhimu wa katiba upendo uhai wa watu na ustawi wa maisha yao.

Katika kipindi Cha uongozi wa mihimili hii miwili tumeona mengi na mioyo yetu imehifadhi mengi juu yenu tutaendelea kumuomba Mungu kwa unyenyekevu ili nyie wawili mtuvumilie nasisi milioni 60 tuwavumilie.

Tunapoyakabili majaribu ya dunia yanayoletwa na siasa za Aina yenu mlizozileta Tanzania tunawaombea afya njema ili muione Tanzania ijayo baada yenu.

Mungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Kama Kuna mtu anaweza kuitafsiri hiyo Sala yangu kwa kingereza kizuri Sana namkaribisha afanye hivyo.
 
Ningalikuwa Mimi nisiingeenda kwenye nyumba ya ibada kwa matangazo ningeupa moyo wangu muda wa kujitafakari kwa unyenyekevu njia zangu sirini ambapo ni Mungu pekee anionaye.
 
Rais Magufuli atakumbukwa sana, hasa kwa haya

Barabara kote.
Bwawa la umeme
Hospitali na vituo vya afya kote
Stand za kisasa za mabasi nchi nzima
Masoko nchi nzima
Machinjio za kisasa
Reli ya kisasaa
Ununuzi wa ndege
Viwanda nchi nzima
Madawa kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali ya taifa
Usambazaji wa umeme mijini na vijijini
Elimu ya bure
Mishahara inalipwa kwa wakati.
Upanuzi wa viwanja vya ndege
Kuhamia Dodoma
Ujenzi wa hospitali ya uhuru
Ununuzi wa vivuko na meli
Kupungua kwa usifadi

Ongeza mengine mazuri utakayomkumbuka nayo.
 
Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.
Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu.
Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele.
tunawaombea afya njema ili muione Tanzania ijayo baada yenu.
Mungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania.
Na sisi ambao ni karma observers tutawaletea karmic observations zitakazo tokea wakati wao na baada yao kwa sababu malipo ya karma ni hapa hapa duniani, kila mtu analipwa sawa sawa na matendo yake.

Angalizo muhimu la karma: Kama kuna watu wamekutana na mambo mabaya, it's not necessarily ni wametendwa vibaya, but sometimes zinaweza kuwa ni malipo ya karma payback za matendo yao wenyewe!.

P
 
Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.

Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu.

Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele.

Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji la miba.

Tunamshukuru Mungu kwa yote pengine aliwaleta makusudi ili vizazi vijavyo vitambue umuhimu wa katiba upendo uhai wa watu na ustawi wa maisha yao.

Katika kipindi Cha uongozi wa mihimili hii miwili tumeona mengi na mioyo yetu imehifadhi mengi juu yenu tutaendelea kumuomba Mungu kwa unyenyekevu ili nyie wawili mtuvumilie nasisi milioni 60 tuwavumilie.

Tunapoyakabili majaribu ya dunia yanayoletwa na siasa za Aina yenu mlizozileta Tanzania tunawaombea afya njema ili muione Tanzania ijayo baada yenu.

Mungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania.
Umenikumbasha wauza bangili na milembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi ukishindwa kujali maisha ya watu basi wewe ni bure kabisa!! Haiwezekani mbunge kapigwa risasi alafu unamtwanga adhabu nyingine,utekwaji na uteswaji na uhujumu uchumi umewaachia watu mateso makuu...
Leo kuwa upinzani wewe ni msaliti unayesemewa kuuwawa hadharani, watumishi wanaambiwa ni marufuku kuwa upinzani maana mishahara ni ya ccm na vitisho nivingi yakuwa ukiwa upinzani utashughulikiwa na hutokaa upate promotions maana jinalako litakatwa haraka.
Hali ni mbaya, chuki ni kubwa,ubabe wakijinga nimwingi kimsingi demokrasia imepigwa Bomu Hiroshima kama sio nagasaki. Hili ni funzo,mtihani na changamoto nzito kwa taifa lakini uovu huwa haushindi wema Mungu atatuonesha tuu haya isha allah
 
Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.

Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu.

Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele.

Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji la miba.

Tunamshukuru Mungu kwa yote pengine aliwaleta makusudi ili vizazi vijavyo vitambue umuhimu wa katiba upendo uhai wa watu na ustawi wa maisha yao.

Katika kipindi Cha uongozi wa mihimili hii miwili tumeona mengi na mioyo yetu imehifadhi mengi juu yenu tutaendelea kumuomba Mungu kwa unyenyekevu ili nyie wawili mtuvumilie nasisi milioni 60 tuwavumilie.

Tunapoyakabili majaribu ya dunia yanayoletwa na siasa za Aina yenu mlizozileta Tanzania tunawaombea afya njema ili muione Tanzania ijayo baada yenu.

Mungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania.

Watu wanaaahau haraka sana wanakumbuka majanga. Ukiwaambia watumwakuambie vitu gani vimefanyika wakati wa Mkapa wengi hawajui !!. Wanakumbuka majanga tu MV Bukoba nk na Magu watakumbuka Lissu na inawezekana uchaguzi maana tukienda hivi vurugu inakuja.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom