Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Je; Ni mila na desturi au ni Itifaki Au ni WOSIA wake uliopelekea Moi kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?
Screenshot_20200208-123507.png
 
Wakenya leo wameanza siku tatu za kutoa heshima za mwisho kwa mwendazake Moi aliyewahi kuwa Rais wao.

Utaratibu wanaotumia Kenya umenishangaza, yaani mwendazake Moi amelazwa juu ya meza bungeni wala hayuko kwenye coffin......kwa kifupi ni kwamba sijauelewa kabisa utaratibu huu wa kutoa heshima.

Tukio liko live Citizen tv.

RIP mzee Moi
 
Back
Top Bottom