tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Donatila

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

    Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi. OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
  3. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wakuu habari ya muda, Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania. Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande...
  4. tikatika

    JamiiForums Tanzania Tanzania hivi tuko kipindi cha mpito au tuna nini?

    Yaan kila nikitafakari nakosa jibu, baada ya uchaguzi wa 2015 nilidhani kuna muda tutatulia kama taifa. Lakn ndio kwanza taifa lina hali ya sintofaham kama vile tumetoka kupinduliwa. Ukitizama sana unaweza dhani uchaguzi utafanyika kesho, siasa zimepamba moto. Lakn ukitizama kwa jicho lingine...
  5. Zero Hours

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Rais wa Tanzania akajiuzulu kisheria?

    Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria? Kwani ni lazima amalize miaka mitano? Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi? Raisi mstaafu wa awamu iliyopita anaweza kupewa nchi kwa muda? Na kama watanzania tumemchoka hakuna mikakati yoyote...
  6. SONGOKA

    JamiiForums Tanzania Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

    wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi...
  7. Singida ndio home

    JamiiForums Tanzania Makontena 115 ya sukari iliyofichwa yakamatwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amebaini sukari zaidi ya makontena 115 iliyofichwa kwenye bandari kavu ya PMP, Mkuu wa Mkoa ametoa taarifa kuwa kuna zaidi ya Makontena 162 na sio 115 kama ilivyoripotiwa hivyo ameagiza zoezi la ukaguzi wa sukari liendelee kwenye Bandari kavu hiyo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

    Guyz natafuta kiwanda cha kutengeneza chupa, kipo kweli bongo or ndio hadi twende Kenya?
  9. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Syndicate ya drug delears Tanzania-South Africa

    Pushing heroin through South Africa: The telephone line distorts. “We need to hurry up man, seriously dog,” says Mark*, the American voice on the one end of the line. “If these people leave, somebody owes me money, dude, because I am not carrying that shit.” “Okay, there is no problem...
  10. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Tanzania dreams big with port project at former slave harbour

    Tanzania dreams big with port project at former slave harbour Sun Mar 15, 2015 8:47am GMT By Edith Honan BAGAMOYO, Tanzania (Reuters) - In its heyday, Bagamayo was a gateway to the heart of Africa for colonisers, with trade goods surging in from the Indian Ocean, and timber, ivory and...
  11. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

    The EastAfrican newspaper has been banned from circulation in Tanzania, 20 years after it was launched to cover the region. According to a letter sent to The EastAfrican bureau chief in Tanzania, the decision was apparently taken because the paper "has been circulating in the country without...
  12. RUCCI

    JamiiForums Tanzania How the 1964 Tanzania Rifles mutiny gave birth to TPDF

    TPDF Little is known today or even narrated in the local media, about the January 1, 1961 mutiny by African members of what was then known as the Tanganyika Rifles, which occurred three years after Tanganyika's independence from Britain on December 9, 1961. The British had ruled Tanganyika as...
  13. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mjue Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa undani

    HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA Tarehe ya kuzaliwa: 13 Aprili 1922 Mahali pa kuzaliwa: Butiama Tarehe ya kifo: 14 Oktoba 1999 Rais wa kwanza wa Tanzania: Alingia ofisini 1964 - 1985 Alifuatwa na: Ali Hassan Mwinyi Dini: Mkristo Mkatoliki Elimu yake Chuo Kikuu cha...
  14. Mwl.Kaijage

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa chama cha ACT-Tanzania na katiba mpya

    Alliance for Change and Transparency-Tanzania Maoni ya ACT-Tanzania kuhusu namna ya kutoka katika mkwamo uliopo katika mchakato wa Katiba Mpya. 1. Nchi yetu iliingia katika mchakato wa Katiba kwa kushirikisha wananchi wote ili kupata Katiba bora yenye kuakisi matakwa ya nchi kwa sasa na...
  15. Second Lieutenant

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Punguzo la 1% (kutoka 15% hadi 14%) kwenye kodi ya mishahara (PAYE) ni dhihaka kwa wafanyakazi wa Tanzania kwani gharama za maisha ziko juu sana kufuatia mfumuko mkubwa wa bei. Ifike wakati sasa serikali iwaonee huruma wafanyakazi kwa kuwapunguzia mzigo wa kodi badala ya kufawafanyia mzaha kama...
  17. nngu007

    JamiiForums Tanzania Why Obama is visiting Tanzania

    By ELISHA MAGOLANGA Tanzanias strategic position in the continent, its abundant natural resources and countering Chinas advances to Africa have been cited as some of the reasons why President Barack Obama chose to visit Tanzania in his tour of Africa next month. Mr Obama, who is the first...
  18. BAK

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Police Force is rotten

    Where do the drugs police cease go? By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Dar es Salaam. In the wake of the suspension of senior law keepers over their alleged involvement in stealing exhibits under their custody, concern is mounting over where the hundreds of kilogrammes of...
  19. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui hizi ndio sheria 10 za kufanya mapenzi kwa baadhi ya nchi

    1.Usaliti nchini China inaruhusiwa kwa mwanamke aliyesalitiwa na mume wake kumuua mume wake,lakini sharti amuue kwa mkono wake 2.Kwa sheria za Nervada ni kosa kubwa sana kisheria kama utakutwa una urembo wowote katika uume wako(mwanaume) 3.In Bahrain,daktari wa kiume anaruhusiwa kumtibu...
  20. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Press Freedom ranking falls after journo killings

    By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Press freedom has shrunk considerably in Tanzania, with journalists and media houses finding it more difficult to do their work, according to the 2013 World Press Freedom Index. The country has dropped 36 places and is now ranked at number 70 of...
Back
Top Bottom