• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Fahamu Aina ya nafasi za kazi na ajira zinazopatikana Airport Tanzania

I

ilejehome

Member
Joined
Oct 18, 2016
Messages
18
Points
95
I

ilejehome

Member
Joined Oct 18, 2016
18 95


Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania ni miongoni mwa taasisi za serikali zinazotoa ajira za fani mbalimbali.

Miongoni mwa ajira hizo ni pamoja na Record Manegement Jobs, Internal Auditor Jobs, Marketing/Commercial Officer Jobs, Procurement and Supplies Officer Jobs........Browse all types of Airport Jobs in Tanzania
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
1,083
Points
2,000
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
1,083 2,000
Huyu jamaa bwana eti kaona shida kuandika

Baadhi ya sisi vijana tumekuwa wavivu
 
muafi

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Messages
1,283
Points
2,000
muafi

muafi

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2015
1,283 2,000
Ndo unatafuta views kiboya hivyo?
 
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
5,055
Points
2,000
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
5,055 2,000
duuu.! huyu mtoa mada ni bonge la kiazi mbatata.
 
jina halisi

jina halisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
1,815
Points
2,000
jina halisi

jina halisi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
1,815 2,000
Viewers buku hivi ndio unalipwa 28000? Kwa style hiyo bora ufanye michakato mingine.
 

Forum statistics

Threads 1,405,253
Members 531,953
Posts 34,482,075
Top