Mwaka 2021 Tanzania tutaadhimisha miaka 60 ya ujinga, maradhi na umasikini chini ya CCM

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Mwaka ujao, 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya uhuru toka Waingereza walipoamua kutupatia Uhuru wetu wenyewe.

Mwaka 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya umasikini, ujinga na maradhi, kwa miaka yote hizo Tanzania ikiongozwa na chama cha mapinduzi.

Ni ukweli ulio wazi kua hata ccm wakipewa miaka 300 kuongoza taifa hili hakuna kipya walichonacho kitakachotutoa watanzania katika umasikini na ujinga, hakuna.

Aliwahi kusema Mzee Kingunge, ccm imeishiwa upepo/ pumzi imekata, hawana jipya, hawana sera ya kututoa hapa tulipo na kutupeleka mbele, mbaya zaidi sasa wanaturudisha kule nyuma tulikotoka, kwenye sera mbovu, sera za kimasikini.

Mwaka huu 2020 tutakua na uchaguzi, tuendelee kuwachagua ccm tukijua kua hawana jipya la kutukomboa, hawana fikra mpya badala yake wanaanza kufikiria sera za miaka ya 60 ambazo zimetufukarisha, wao ndio wanazirudia karne hii ya 21.

ccm sasa ni sawa na wale anaowaita Rais Trump, do nothing, ccm sasa ni do nothing, hawana chochote cha kutusaidia tuondokane na umasikini, ujinga na maradhi.

Ccm oyeee.
 
Kauli zingine tabu tupu, Ni kweli Wameishiwa Sera Ila si kweli kufikia 2021 tutaadhimisha hayo unayoyasema... Japo elimu yenyewe tabu Ila tumesoma kwa juhudi za hicho Chama Mama, Haya maneno ya kashfa bila hiyo elimu ulonayo Wala usingetambua kwamba ni ya kashfa na kuyabandika hapa kwa lengo la kukashifu.. Africa Mashariki na Kati Ni nchi gani ilopiga hatua saaana kusema Tanzania iko nyuma kiivo? CCM Ni Chama kikongwe na Kinastahili heshima, Sisi Wapinzani tunapaswa kuonyesha mfano wa Siasa Safi kwa kuja na Sera mbadala kuushawishi Umma na sio kuropoka kiivo.. unafanya Watu wenye nia ya kuleta Mageuzi ya kiutawala waonekane watafta fursa tu kama Wananchi wenye upeo mdogo wanavyoaminishwa.. Weka Mchango ako hapo jinsi Mabadiliko yanaweza kufanyika kama Chachu ya Maendeleo na sio kupoteza time kukashifu, correct me if I am wrong, ruksa!
 
Kauli zingine tabu tupu, Ni kweli Wameishiwa Sera Ila si kweli kufikia 2021 tutaadhimisha hayo unayoyasema... Japo elimu yenyewe tabu Ila tumesoma kwa juhudi za hicho Chama Mama, Haya maneno ya kashfa bila hiyo elimu ulonayo Wala usingetambua kwamba ni ya kashfa na kuyabandika hapa kwa lengo la kukashifu.. Africa Mashariki na Kati Ni nchi gani ilopiga hatua saaana kusema Tanzania iko nyuma kiivo? CCM Ni Chama kikongwe na Kinastahili heshima, Sisi Wapinzani tunapaswa kuonyesha mfano wa Siasa Safi kwa kuja na Sera mbadala kuushawishi Umma na sio kuropoka kiivo.. unafanya Watu wenye nia ya kuleta Mageuzi ya kiutawala waonekana watafta fursa tu kama Wananchi wenye upeo mdogo wanavyoaminishwa.. Weka Mchango ako hapo jinsi Mabadiliko yanaweza kufanyika kama Chachi ya Maendeleo na sio kupoeza time kukashifu, correct me if I am wrong, ruksa!
Ccm ni generation ya wapigaji sasa ni Mali binafsi ya familia ndio yenye kutoa maamuzi na dira wengine wote wafata.Ccm imejengwa kwenye misingi ya umasikini na ujinga hivi visipokuwepo ccm itakufa.Ccm inapendwa na makundi mawili moja wanufaika walaji na wapigaji kundi la pili ni future less people( wanting) wasioweza nunua hata ndala hawa ndio mtaji wa kundi kwanza.Mtu asiye ndani ya kundi hilo smartphone hawezi kuwa kati ya makundi hayo
 
Kauli zingine tabu tupu, Ni kweli Wameishiwa Sera Ila si kweli kufikia 2021 tutaadhimisha hayo unayoyasema... Japo elimu yenyewe tabu Ila tumesoma kwa juhudi za hicho Chama Mama, Haya maneno ya kashfa bila hiyo elimu ulonayo Wala usingetambua kwamba ni ya kashfa na kuyabandika hapa kwa lengo la kukashifu.. Africa Mashariki na Kati Ni nchi gani ilopiga hatua saaana kusema Tanzania iko nyuma kiivo? CCM Ni Chama kikongwe na Kinastahili heshima, Sisi Wapinzani tunapaswa kuonyesha mfano wa Siasa Safi kwa kuja na Sera mbadala kuushawishi Umma na sio kuropoka kiivo.. unafanya Watu wenye nia ya kuleta Mageuzi ya kiutawala waonekane watafta fursa tu kama Wananchi wenye upeo mdogo wanavyoaminishwa.. Weka Mchango ako hapo jinsi Mabadiliko yanaweza kufanyika kama Chachu ya Maendeleo na sio kupoteza time kukashifu, correct me if I am wrong, ruksa!
Kwa akili yako ndogo unadhani kila anaeandika humu elimu amepata Tanzania, hilo la kwanza.

La pili, shuleni hukufundishwa kuweka aya kwenye uandishi wako na matumizi ya vinyambulisho(panctuation)?

Tatu, kwa akili yako finyu kila anaeandika humu basi ni mpinzani, kichwani umebeba akili au mavi.

Nne, chama kinaheshimiwa kwa sababu ya ukongwe wake au kwa sababu ya mchango wa maendeleo kilichowaletea wananchi wake?
 
Brother una stress!

Nne, Chama Hakieshimiwi kwa sababu ya ukongwe wake.. Ila huwezi kumtusi Mzazi kisa amekulea katika Mazingira ya Umaskini mpaka ukajitambua..

Nimekuwekea Aya.. umenenepa Sasa?
 
Back
Top Bottom