Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Ndo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka,
Libya ilikuwa ni Vita ya mwisho, alijaribu kumtoa Asadi Syria kashindwa, kajaribu kumtoa Maduro wa Venezuela kashindwa, kila mahali wanagoma shauli kuna options nyingi leo hii, ila naona akina Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. bado wako stuck kwenye old World, bado wanakimbilia kushitaki kwa Muzungu karne hii ya 21? Ndo maana labda USA katupiga mkwara sisi kimya wala hatuhangaiki naye kumjibu, ...